Sema sana kejeli sana lakini ukumbuke kuwa kuna siku isiokuwa na saa ambayo roho yako itazimika kama unavio zima taa zako za ndani ya nyumba yako hiyo ni siku ambayo ndio muisho wa nyodo zako hizo ulizo nazo ndio siku utakapo jua kuwa sheitani yupo au ayupo mungu yupo au hayupo baada ya kufukiwa kifusi cha tani 7
Naona unaweka vitisho. Mbona Kama kwako haya hayatafanyika kwako ama Ni kwangu. Kifo kipo kwa kila kiumbe hai na ndio uumbaji ulivyo sema mnakitumia Kama silaha ya kutawala watu na kuwapeni sadaka. Aliyeniumba anajua siku nitakufa na sio wa kwanza mie kufa.
Sema Mara kifusi,Mara sijui mbavu hii inahamia kushoto na kushoto inaenda kulia.
Ulivyoongea utadhani Kama wewe utaishi milele,as if wewe unayajua baada ya kifo.
Listen people use fear of future life after this Earth life to threaten others.
Tunaogopa kifo na kila kiumbe ndio hofu ya kwanza na wengine wanaotumia vizuri hii karata vizuri kumeki life lao.
Mara utakufa na kansa,ukimwi,sijui Nini ili ununue dawa zao,ama uchanje.
Binadamu ana fear of uncertainties hajui kesho kutakuwepo na Nini so anapenda mno kujua hapo kesho ama tomorrow kutakuwa ama kutatokea Nini.
Na ndio Mana wanaopenda mfano kuajiriwa Ni wengi kuliko wanaopenda kujisimamia ama kufanya biashara zao.
Mana mshahara unajulikana,njia inajulikana yaani mpaka kustaafu anajua atakuwa na Bei gani hii tofauti na biashara.
Tunapenda mno deterministic thinking kuliko Probability thinking.
Mara unaponya magonjwa ,mpaka njoo kwa fulani uponywe ,sema wanadamu mbele ya kifo wanakuwa Kama watt wadogo wanataka mtu wa kuwaongoza.
Unadhani Kama Hakuna kufa hizi dini zingekuwepo Mana watu wamejaa uwoga kuwa baada ya kifo Mara nitachomwa Moto.
Mungu Aliyetuumba anajua kila kitu hata maisha yako kabla hata kizazi Cha bilioni kabla yako hujaumbika katika viuno vya wazazi.so everything is under the control msitumie karata ya hofu kutawala watu,Kama wengine watumiavyo tamaa za binadamu kujinufaisha kimaisha yao.
Yaani binadamu Ni sawa na kondoo, ng'ombe ama nyuki ukimjulia unamuendesha vizuri anaenda unapotaka aende.
Mfano wanawake wanaishi kisa Cha tamaa ya wanaume ya ngono ,waimbaji ,wachezaji na waigizaji wanaishi kisa Cha binadamu kupenda Raha, madaktari na wafamasia wanaishi kisa Cha magonjwa ya Binadamu na wengine mpaka wanatengeneza magonjwa like corona.
Walimu,vyuo vikuu,watunga vitabu wanaishi kisa Cha binadamu ujinga wake na kutafuta maarifa.
I know how human mind works.
So huwezi nitisha Wala huyo Mungu sio kuwa Ni wako pekee,hata wazungu walimtumia huyo huyo kumlainisha mwafrika kumuibia Mali zake ,mwarabu akamtumia kwa kumuuza utumwani