The Legacy
JF-Expert Member
- Jun 1, 2022
- 5,879
- 11,318
Acheni dhihaka na Mungu,akishusha ghadhabu yake hakuna wakuhimili.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alie sema kufa ni adhabu ninani?kufa sio adhabu bali ndio siku ya kujua mbichi na mbivu ndio siku baadhi ya wapumbavu wanaodhani kuwa mungu hayupo au yuko kama wao watakapo lia na kusaga menoInaonekana unaogopa kufa mpaka umekua mpumbavu sana. Kufa sio adhabu Ni asili
Dini kaianzisha nani? Je watu wanaogopa mungu au polisiDini ni kama sheria tu, ziliasisiwa ili kudhibiti mienendo na tabia za Binadamu. Kumbuka kwamba Binadamu ni mnyama kiasili na ana tabia zote za wanyama hivyo bila jitihada za makusudi kumdhibiti na kumtawala Dunia isingekuwa sehemu salama.
Sikusema kuwa mimi nitaishi milele la hiyo tabia yako yakujitia kuwa tukana wanaoamini uwepo wa Mungu ndio maana nikwambia hivio mimi sijakejili mtu ila wewe kazi yako ndio hiyo sio vitisho unabisha subili hiyo sikuNaona unaweka vitisho. Mbona Kama kwako haya hayatafanyika kwako ama Ni kwangu. Kifo kipo kwa kila kiumbe hai na ndio uumbaji ulivyo sema mnakitumia Kama silaha ya kutawala watu na kuwapeni sadaka. Aliyeniumba anajua siku nitakufa na sio wa kwanza mie kufa.
Sema Mara kifusi,Mara sijui mbavu hii inahamia kushoto na kushoto inaenda kulia.
Ulivyoongea utadhani Kama wewe utaishi milele,as if wewe unayajua baada ya kifo.
Listen people use fear of future life after this Earth life to threaten others.
Tunaogopa kifo na kila kiumbe ndio hofu ya kwanza na wengine wanaotumia vizuri hii karata vizuri kumeki life lao.
Mara utakufa na kansa,ukimwi,sijui Nini ili ununue dawa zao,ama uchanje.
Binadamu ana fear of uncertainties hajui kesho kutakuwepo na Nini so anapenda mno kujua hapo kesho ama tomorrow kutakuwa ama kutatokea Nini.
Na ndio Mana wanaopenda mfano kuajiriwa Ni wengi kuliko wanaopenda kujisimamia ama kufanya biashara zao.
Mana mshahara unajulikana,njia inajulikana yaani mpaka kustaafu anajua atakuwa na Bei gani hii tofauti na biashara.
Tunapenda mno deterministic thinking kuliko Probability thinking.
Mara unaponya magonjwa ,mpaka njoo kwa fulani uponywe ,sema wanadamu mbele ya kifo wanakuwa Kama watt wadogo wanataka mtu wa kuwaongoza.
Unadhani Kama Hakuna kufa hizi dini zingekuwepo Mana watu wamejaa uwoga kuwa baada ya kifo Mara nitachomwa Moto.
Mungu Aliyetuumba anajua kila kitu hata maisha yako kabla hata kizazi Cha bilioni kabla yako hujaumbika katika viuno vya wazazi.so everything is under the control msitumie karata ya hofu kutawala watu,Kama wengine watumiavyo tamaa za binadamu kujinufaisha kimaisha yao.
Yaani binadamu Ni sawa na kondoo, ng'ombe ama nyuki ukimjulia unamuendesha vizuri anaenda unapotaka aende.
Mfano wanawake wanaishi kisa Cha tamaa ya wanaume ya ngono ,waimbaji ,wachezaji na waigizaji wanaishi kisa Cha binadamu kupenda Raha, madaktari na wafamasia wanaishi kisa Cha magonjwa ya Binadamu na wengine mpaka wanatengeneza magonjwa like corona.
Walimu,vyuo vikuu,watunga vitabu wanaishi kisa Cha binadamu ujinga wake na kutafuta maarifa.
I know how human mind works.
So huwezi nitisha Wala huyo Mungu sio kuwa Ni wako pekee,hata wazungu walimtumia huyo huyo kumlainisha mwafrika kumuibia Mali zake ,mwarabu akamtumia kwa kumuuza utumwani
Kweli wewe ni zaidi ya mpumbavuBaada ya Mungu kuumba ulimwengu akaumba mema na mabaya kabla shetani Hivyo maovu yalikuwepo kabla kuumbwa shetani kwa vyovyote hata Shetani asingekuwepo maovu yangekuwepo kwa kuwa Mungu alishaumba mabaya
Kwa maneno rahisi Mungu ndio Shetani mwenyewe Anawachora jinsi mnavyoangaika na mtego wa maovu wakati yeye ndio anapanga Dini zinasema kuwa Mungu anajua maisha yako kama anajua kuna haja gani kumuhukumu mtu kwenda motoni wakati yeye alishapanga awe muovu ukitafakari vizuri utakuja kugundua Mungu ndio Shetani mwenyewe
Upumbavu ndio unaziidi kuonyesha kuwa Mungu ndio shetani alishindwaje kuumba ulimwengu usiokuwa na wapumbavuKweli wewe ni zaidi ya mpumbavu
Kumbe inawezakana kabisa mungu anawaogopa viumbe wake aliowaumba mwenyewe?
Tunaambiwa shetani aliumbwa na mungu Sasa iweje amemshindwa kumuangamiza mpaka watunishiane misuri na mostly shetani huguhuyu anaonekana ana nguvu kumzidi huyu mungu.
Does it come to our ears as true logic kwamba shetani ni dhana tu?