Hivi Mungu amemshindwa kabisa shetani? Mbona shetani inasadikika ni kiumbe wake?

Acheni dhihaka na Mungu,akishusha ghadhabu yake hakuna wakuhimili.
 
Inaonekana unaogopa kufa mpaka umekua mpumbavu sana. Kufa sio adhabu Ni asili
Alie sema kufa ni adhabu ninani?kufa sio adhabu bali ndio siku ya kujua mbichi na mbivu ndio siku baadhi ya wapumbavu wanaodhani kuwa mungu hayupo au yuko kama wao watakapo lia na kusaga meno
 
Dini ni kama sheria tu, ziliasisiwa ili kudhibiti mienendo na tabia za Binadamu. Kumbuka kwamba Binadamu ni mnyama kiasili na ana tabia zote za wanyama hivyo bila jitihada za makusudi kumdhibiti na kumtawala Dunia isingekuwa sehemu salama.
Dini kaianzisha nani? Je watu wanaogopa mungu au polisi
 
Sikusema kuwa mimi nitaishi milele la hiyo tabia yako yakujitia kuwa tukana wanaoamini uwepo wa Mungu ndio maana nikwambia hivio mimi sijakejili mtu ila wewe kazi yako ndio hiyo sio vitisho unabisha subili hiyo siku
 
Kweli wewe ni zaidi ya mpumbavu
 
Huenda tunashindwa kuelewa, Mungu huyo ndiye anageuka kuwa shetani. Kama sivyo ni vitu viwili vyenye ushirikiano mkubwa. Kwa upande wangu Mungu ni mwanga na shetani ni giza. Vyote viwili vina umuhimu katika maisha ya binadamu.
 

Ecclesiastes 3:1-8 "For everything there is a season, and a time for every matter under heaven..."

Rev 20:10. And the devil that deceived them was cast into the lake of fire and brimstone, where the beast and the false prophet are, and shall be tormented day and night for ever and ever.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…