The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,436
- 10,944
Eti wanasema Bado mda sijui utafika lini ππHaiwezekani mbinguni au katika ulimwengu tusiojua wanaishi viumbe wawili wanaoogopana. Sasa tutajua nani mwenye nguvu?
Inasemekana shetani ni mbaya kama tulivyokalilishwa na Mungu lakini inakuwaje Mungu ashindwe kumuangamiza kama kweli Mungu hashindwi chochote?
Hata wachungaji/mapadre wenyewe hawataki shetani aangamizwe mana watakosa cha kutuhubiri ili kupiga hela. Kwa maana nyingine shetani kawapa ulaji wachungaji. Siku akitoweka tu mapdre/ maskofu / wachungaji watakufa njaa maana watakosa cha kutudanganya.
Kwa nini sisi tuteketezwe badala ya roho ya shetani maana anaijuaWanasema shetani ni roho anafanya kazi zake kupitia wanadamu sasa hapo inabidi mungu ateketeze binadamu wote maana sisi ndio tumebeba ushweitan
Huyo Mungu mnahangaika sana kumwelezea na kumuongelea kwa vile Hayupo kujiongelea mwenyewe wala hawezi kujidhihirisha mwenyewe kwamba yupo.Zaburi 14:1a
"Mpumbavu amesema moyoni, Hakuna Mungu"
BORA kua mjinga kulikua kua mpumbavu , upumbavu ni hali HATARI sana NDANI ya MTU
Ujinga ni kukosa taarifa SAHIHI, Kwaiyo ni rahisi Sana kumuelimisha mjinga lakini mpumbavu ni MUNGU mwenyewe ndie awezae KUMBADILISHA
Wewe na Kiranga ni kama Thomaso . Mwamba Thomaso bila uthibitisho wa macho ya nyama hawezi kukubali chochote . Kwa bahati mbaya mtu akifa macho ya nyama yanakuwa hayana msaada kwake , labda siku moja mtakuja kumuona Mungu kwa macho ya roho hata katika njozi za usiku .Hakuna uthibitisho wowote ule uliothibitisha kwamba energy haikuwepo kisha ikawepo.
Kwa hiyo kinachofahamika na kuthibitishika ni kwamba energy ilikuwepo, tumeikuta ipo na itaendelea kuwepo.
Mpaka pale kutakapokuwa na uthibitisho kwamba energy haikuwepo, ndipo itakubalika hivyo.
Ila hakuna anaye jua energy ilianzaje
Hee Pascal, ni kweli haya?Tumia lugha ya picha na kuongea kwa tafsida, mti wa katikati ni ule mti na tunda ni lile tunda la kumegwa, kula tunda ndio kumegwa.
Shetani baada ya kuingia bustanini kama nyoka, akajigeuza mtu, akamfundisha Eva jinsi ya kumega tunda, akamega.
P
Kwa nini uhitaji kuamini Mungu yupo kwa imani, Badala ya kujua Mungu yupo kwa uthibitisho kabisa?Wewe na Kiranga ni kama Thomaso . Mwamba Thomaso bila uthibitisho wa macho ya nyama hawezi kukubali chochote . Kwa bahati mbaya mtu akifa macho ya nyama yanakuwa hayana msaada kwake , labda siku moja mtakuja kumuona Mungu kwa macho ya roho hata katika njozi za usiku .
Mungu anajidhihirisha katika vitu alivyoviumba . Ila wewe unataka umuone Mungu mwenyewe aliyeviumba hivyo vitu yaani unataka ujue Mungu anaonekanaje kwa umbo na sura !Kwa nini uhitaji kuamini Mungu yupo kwa imani, Badala ya kujua Mungu yupo kwa uthibitisho kabisa?
Huyo Mungu kama yupo anacho jifichia asijulikane yupo ni nini?
Ulijuaje na unathibitishaje Mungu huyo aliumba vitu?Mungu anajidhihirisha katika vitu alivyoviumba .
Wewe kama hukuwahi kumuona huyo Mungu akiumba hivi vitu, Utasemaje na kuhitimisha kwamba Mungu huyo ndio muumbaji?Ila wewe unataka umuone Mungu mwenyewe aliyeviumba hivyo vitu yaani unataka ujue Mungu anaonekanaje kwa umbo na sura !
Walifunuliwa na kupewa taarifa na malaika wa Mungu . Mimi mwenyewe niliwahi kuletewa taarifa na malaika wa Mungu kuhusu jambo langu. Malaika wa Mungu ndio wanaotawala energy na nyota zote kwa kufuata order wanazopewa na Mungu.Ulijuaje na unathibitishaje Mungu huyo aliumba vitu?
Au ni mawazo yako na hadithi ulizo simuliwa tu?
Wewe kama hukuwahi kumuona huyo Mungu akiumba hivi vitu, Utasemaje na kuhitimisha kwamba Mungu huyo ndio muumbaji?
Ni nani aliwahi kumuona huyo Mungu akiumba hivi vitu?
Na alijuaje ni Mungu?
Unathibitishaje ni malaika na sio hallucinations?Walifunuliwa na kupewa taarifa na malaika wa Mungu . Mimi mwenyewe niliwahi kuletewa taarifa na malaika wa Mungu kuhusu jambo langu.
Acha vitisho kijana jikite kwenye mada. Kwanini Mungu asimuue shetani ili hizi drama zao ziishe?Wabongo wengi sana hamna imani na Muumba ndio maana aya maswali yenu ya kukufuru uku Jf ni mengi mno.
Unakuta mtu anamkufuru muumba wake kwa sababu pumzi za uzima aliyonao inamhadaa anafanya vile anavyojiskia.
Hizo hallucinations ni hisia zako ndo zinakutuma hivyo . Ila ujumbe niliopewa niliufanyia kazi na nikapata matokeo chanya katika dunia halisia . Namuamini Mungu sana mpaka leo .Unathibitishaje ni malaika na sio hallucinations?
Bila shaka ulipata hallucinations halafu unasema ni malaika wa Mungu...π
Ninyi watu mnachekesha sana.
Pia huyo Mungu ni hisia zako ndo zinakutuma hivyo.Hizo hallucinations ni hisia zako ndo zinakutuma hivyo
Wewe kumuamini Mungu sio shida, kwa vile ni hisia zako tu ndizo zinakutuma hivyo.. Ila ujumbe niliopewa niliufanyia kazi na nikapata matokeo chanya katika dunia halisia . Namuamini Mungu sana mpaka leo .
ππππππHakuna mungu wala shetani, enjoy maisha kula nyama ukifa umekufa, dunia haina huruma.