Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Haikutoka popote pale.Energy haiwezi kutengenezwa au kuharibiwa sawa. Lakini energy yenyewe ilitoka wapi ? Au Jua lilitokea kutoka wapi ?
Hakuna wakati wowote ule ambapo energy haikuwepo kisha ikawepo from nothing.
Energy ilikuwepo, ipo na itaendelea kuwepo.
Kama kila kitu kilichopo lazima kiwe na sehemu kilipo toka, Basi hata hizo sehemu zilipotoka zitahitaji sehemu zingine zilipotoka.
Yani pasiwepo sehemu yeyote ile iliyo exist yenyewe tu pasipo kutoka sehemu fulani.
Yani kutakuwa na sehemu nyingi zisizo na mwisho, endless.