Kwanza tumia capital letters kutaja jina la Mungu.
Mwanzo wa Mungu pia ndio mwanzo wa shetani, ambaye mwanzo alikuwa malaika, ndie alikuwa malaika mkuu 2nd in command baada ya Mungu.
Mungu ana nguvu na shetani ana nguvu, ila nguvu za Mungu ni kubwa zaidi ya nguvu za shetani kwa mambo mawili tuu, creation of life, and taking back the life, lakini vitu vingine vyote, everything God can do, the devil can do!.
Shetani alipoasi alifukuzwa tuu mbinguni lakini alibaki na nguvu zake zote. God ananguvu kuliko shetani lakini hawezi kumuangamiza shetani!.
Shetani ni mzuri sana kwa kuji disguise hivyo alipoingia bustani ya Aden kum tempt Eva, alijigeuza nyoka akapenya bustanini, kule akajigeuza mtu, ndipo akamshawishi Eva kula lile tunda, kwa kumuonyesha kwa practical kabisa jinsi tunda linavyochumwa, linavyo megwa, akammegea Eva, Eva na shetani wakala tunda.
Baada ya Eva kuuonja utamu wa tunda, akampelekea Adamu tunda, akamfundisha tunda linavyomegwa. Adam akamkatatalia kula tunda lililokatazwa na Mungu. Eva akamlazinisha, Adamu akakubali kumega tunda, hao... wakaishia zao uzingizini!.
Shetani akasepa zake.
Hata sasa
Angalizo: Kuna Wengi Wanamwabudu Shetani Wakidhani ni Mungu!. Jee Wewe Unajijua?, Jitambue!.
P