Dakarai
JF-Expert Member
- Jan 17, 2023
- 671
- 1,245
binadamu wote ni viumbe wa kiroho ,Unaelewaje ninaposema kuwa mtu wa kiroho??
mimi nimeelewa kwamba kuwa spiritual conscious.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
binadamu wote ni viumbe wa kiroho ,Unaelewaje ninaposema kuwa mtu wa kiroho??
Dini nipango wa mwanadamu kumtafuta mungu,,hilo likisikupe shida ,kabla ya yesu kulikuwepo ndini nyingi tuu..kikubwa imani yako.Mungu na dini ni vitu 2 tofauti kabisa.Mungu hana dini ila dini ni michongo ya wenye akili. Mfano kuna yesu wa tongoran kule kenya, baada ya miaka 1000 aman2000 atakuwa na wafuasi dunia nzima huyu and wataamini kabisa kuwa yesu alizaliwa kenya na alikufa akafufuka siku ya tatu ama vyovyote vile ambavyo watakuwa wameaminishwa. Vivyohivyo yesu wa nazaret tunavyoaminishwa sisi kwa sasa.
Mimi naamini katika Mungu mmoja na siamini dini yoyote
Ogopa hiyo kauli,Tajiri wa Titanic alisema meli yake haitazamishwa hata na Mungu, safari ya kwanza ikazama.
Fikiria shahawa zinakua mtu, mbegu inaota, unavuta hewa free.
Apa nmejifunza kweli shukrani......alimwambia Musa kuwa hakuna mwanadamu anaweza kumuona akaishi......
Kwa mantiki hiyo, mtu atakapokoma kuwa mwanadamu (akishakufa) i.e akawa ni Roho, hapo ndipo atamwona Mungu. Nimefurahi sana kwa kauli hii.
i know my body is my temple.Unaelewaje ninaposema kuwa mtu wa kiroho??
Bertrand Russell was once asked, “Suppose when you die you find yourself in heaven, standing before God and he says, ‘Why didn’t you believe in me.’?”It is completely irrational to regard the complexity of the human body and not infer that the will of an intelligent DESIGNER was behind it. if ages from now archaeologists unearth a ford pickup truck without having knowledge of its history and some insisted that the pickup had simply evolved on its own into existence , we would find that to be an absurd conclusion... which is more complex the human body or the ford pickup!? Sijui jibu umepata...
Ulikuwepo kuwepo kipindi huyo tajiri anayasema hayo?Ogopa hiyo kauli,Tajiri wa Titanic alisema meli yake haitazamishwa hata na Mungu, safari ya kwanza ikazama.
Fikiria shahawa zinakua mtu, mbegu inaota, unavuta hewa free.
Well i think this is just your opinion... And honestly God is not gonna torture pple eternally as many say and believe.Bertrand Russell was once asked, “Suppose when you die you find yourself in heaven, standing before God and he says, ‘Why didn’t you believe in me.’?”
Russell said, “I would reply that you didn’t provide sufficient evidence.”
After all if there were a god that wanted everybody to believe in him, he could certainly do something convincing like spell out his name hristian, Is everybody to believe in f will called faith, words to be an intellectual coward.
Kama atakuwa hajatishika, hakuna tatizo. Tatizo litatokea kama atatishika kwa sababu kutishika ni hiari. Ulishawahi kumkuta mtu amekuja kwako na kukulazimisha utsihike? Vitisho huwa vipo ndiyo ila kutishika ni hiari; na ikitokea mtu akatishika basi kuna shida mahali fulani; kwa nini atishike?Hv kwa nini mtu akiuliza swali kuhusu uwepo wa Mungu mnakuja kumtisha ,
😂😂, nop majanga yanayozidi shika kasi kwa sasa kama haya ya mmonyoko wa Maadili broUnazungumzia majanga kama yale ya Tsunami kule Japan?
Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app