Hivi Mungu yupo au ni mipango ya watu kujipatia ajira na pesa?

Wale wanaosema kuwa shetani ni nadharia, hvi visa vilivyopo hapa jukwaani kuhusu mambo ya kutisha na encounters za mashetani. JE NI NANI YUPO NYUMA YA HAYO MAMBO?? kama s uthibitisho kuwa jamaa yupo?
 
Inapohusu kumjua Mungu sidhani kama kuna source outside the bible and creation..
Nakubaliana na wewe mkuu.
Nadhani Mungu ni title siyo jina.
ingependeza sana wale wanao mtajaga Mungu hapa wangekuwa specific Mungu yupi.
inaonekana kila jamii ilikuwa na mungu wao na hadi leo hii kila watu na miungu yao.

kuna wakina sisi waafrica MUNGU wetu ni yule ambae amepandikizwa vichwani mwetu / tumuite mungu wa wazungu/ mungu wa bible.
 
Wale wanaosema kuwa shetani ni nadharia, hvi visa vilivyopo hapa jukwaani kuhusu mambo ya kutisha na encounters za mashetani. JE NI NANI YUPO NYUMA YA HAYO MAMBO?? kama s uthibitisho kuwa jamaa yupo?
mkuu wewe tokea umezaliwa uliwahi ku feel au ku sense uwepo wa Mungu au shetani?

au nikuulize hebu tuambie ubaya wowote ambao shetani amekufanyia ?
au jema ambalo mungu amekufanyia?

shetani ni mimi na wewe.
tunasababisha majanga duniani ni mim na wewe.
 
mkuu wewe tokea umezaliwa uliwahi ku feel au ku sense uwepo wa Mungu au shetani?

au nikuulize hebu tuambie ubaya wowote ambao shetani amekufanyia?
Nimeulizaje mkuu, kuna visa tena hapa hapa jf watu wanadai wamekutana na vtu vya ajabu mfano watu warefu na mengne mengi, pia fortune tellers wapo. unafikiri n nguvu ya nani?
Mfano kjjni mwana ukoo wangu anajihusisha na mambo ya mizimu, kila akitengeneza pombe asubui haikuti tena nyngi,
Sasa who is behind all that...
 
mkuu. wewe unaamini kila linalofanywa na wanadamu kuna nguvu kuu behind ndiyo imesuka huo mchongo.?
 
magic,
kuna watu wana do magic
tuite witchcraft na mambo mengine mengi.

mkuu?
wewe unaamini kuwa shetani na Gd ni vitu gani? maana naamini uwelewa wetu unatofautiana ?
GD ?
WEWE UNAMUELEWAJE GD?
 
The God i believe in is the creator, the God of israel, his name is JEHOVAH.

On the other hand satan was once God's son(ANGEL) but decided to rebel..
 
mkuu. wewe unaamini kila linalofanywa na wanadamu kuna nguvu kuu behind ndiyo imesuka huo mchongo.?
SIo kila ktu mkuu, mfano mwingne tena huu nilishuhudia kabisaa, mama mkubwa wangu alishikwa na nguvu si za kawaida na akawa anaongea kama bibi yetu aliyekufa kitambo mno na mambo aliyoyaongea ni kwel mkuu mifano n ming sana, niseme tu ukwel hakuna namna mtu atanambia eti Mungu na Shetani ni nadharia tu, mimi nimejithbitishia kuwa they both exist..
 
The God i believe in is the creator, the God of israel, his name is JEHOVAH.

On the other hand satan was once God's son(ANGEL) but decided to rebel..
AHSANTE MKUU,
WEWE NI MIONGONI MWA WENGI niliowahi kukutana nao mnao amini MUNGU huyo wakuitwa Jehovah.

uliwahi kujaribu kutoka nje ya box na kutaka kujifunza kuhusu huyo MUNGU au kuhusu miungu wengine?
 
SIo kila ktu mkuu, mfano mwingne tena huu nilishuhudia kabisaa, mama mkubwa wangu alishikwa na nguvu si za kawaida na akawa anaongea kama bibi yetu aliyekufa kitambo mno na mambo aliyoyaongea ni kwel mkuu mifano n ming sana, niseme tu ukwel hakuna namna mtu atanambia eti Mungu na Shetani ni nadharia tu, mimi nimejithbitishia kuwa they both exist..
Mkuu natamani niku concept ya kile ambacho ninakiamini then utakitafakari. tatizo ninawasi wasi uwenda ikawa ni makufuru kwako.
 
Ni mipango ya watu kujipatia pesa mkuu japo Hiyo nguvu kuu ya uumbaji ipo.
 
SIo kila ktu mkuu, mfano mwingne tena huu nilishuhudia kabisaa, mama mkubwa wangu alishikwa na nguvu si za kawaida na akawa anaongea kama bibi yetu aliyekufa kitambo mno na mambo aliyoyaongea ni kwel mkuu mifano n ming sana, niseme tu ukwel hakuna namna mtu atanambia eti Mungu na Shetani ni nadharia tu, mimi nimejithbitishia kuwa they both exist..
mkuu mimi binafsi hayo mazingaombwe nimeyasikia sana lkn huwa yanasababishwa na binadamu na yanamalizwaga na binadamu sisi wenyewe.

nguvu pekee iliyonizunguka na ninayoiogopa si nyingine ni POWER OF GOVERNMENT.
 
AHSANTE MKUU,
WEWE NI MIONGONI MWA WENGI niliowahi kukutana nao mnao amini MUNGU huyo wakuitwa Jehovah.

uliwahi kujaribu kutoka nje ya box na kutaka kujifunza kuhusu huyo MUNGU au kuhusu miungu wengine?
Ndio niliwahi kutoka nje ya box lakini nilichokiona sitarudia kutoka tena.!
 
mkuu,
unajua information zote ni muhimu haijalishi za uwongo au kweli.
mkuu ulichokiona uwenda kikawa inspirational kwangu unaweza kushare nijifunze.
 
Ogopa hiyo kauli,Tajiri wa Titanic alisema meli yake haitazamishwa hata na Mungu, safari ya kwanza ikazama.

Fikiria shahawa zinakua mtu, mbegu inaota, unavuta hewa free.
Ulimsikia tajiri wa titanic akisema hayo maneno au story za vijiweni?!
 
Back
Top Bottom