Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dhambi ni nini kwani?There's no God or Devil
Hakuna aliyewahi kufa kafufuka, death is the end, there is no life after death
Dini ndio njia rahisi zaidi ya kumuongoza binadamu asiyefikiri kwa kina
Mtu mwenye akili utamwambia ukizini utapata STDs lakini asiye na akili utamwambia ukizini ni dhambi full stop, ule woga utamfanya asitende dhambi.
Evolution haipingani na uumbaji kwani evolution is a creative process. Ila kuna watu wana akili chache wanagombanisha creationism na evolution. Kreb,s cycle na biological processes zote zimeumbwa na Mungu na uumbaji haujakoma bado unaendelea.Una uthibitisho kuwa viliumbwa na mungu na si evolution? Nikutikise kidogo, Kwahiyo Mungu aliumba Krebs cycle? (nimechagua hii maana inatuhusu kuishi kwetu, among many in our bodies) why all that trouble kuumba Krebs cycle? ( krebs cycle ambayo unaisoma leo imekuwa deciphered after 100 yrs of intensive research. )
ha ha ha ha Hapana anajua viwanja vyake vipo wapi.Unamuita kijanja sio
Unamaanisha kitu kitokee tu from no where…ahaha …..kuna madogo fulani wa kishua wanaamini mchele unatengenezwa kiwandani, nilicheka sanaa…..Una uthibitisho kuwa viliumbwa na mungu na si evolution? Nikutikise kidogo, Kwahiyo Mungu aliumba Krebs cycle? (nimechagua hii maana inatuhusu kuishi kwetu, among many in our bodies) why all that trouble kuumba Krebs cycle? ( krebs cycle ambayo unaisoma leo imekuwa deciphered after 100 yrs of intensive research. )
We believe facts, truths known by actual experienceWewe umejuaje thete is no life after death???
Kwangu mimi sihitaji miujiza mikubwa kujua Mungu yupo.Kwangu Mungu anajizihirisha kupitia.To me, common sense, logic, imagination, rational thinking, intuition ànd high power mental reasoning negates the existence of God!
Nasubiri matusi of all kinds, but from an educated mind? Without violating my rights to think otherwise!
Usiku mwema!
Kichekesho kwanini?! Wewe umewahi kufika Kalahari? Lakini umejuaje kwamba ipo si umesikia kwa watu?Nobody does
Kuna mwana juzi aliniacha na kichekesho alisema Mungu yupo kwasababu wahenga wamesema yupo
Kwenda kinyume na mafundisho ya dini au sheriaDhambi ni nini kwani?
There's no God or Devil
Hakuna aliyewahi kufa kafufuka, death is the end, there is no life after death
Dini ndio njia rahisi zaidi ya kumuongoza binadamu asiyefikiri kwa kina
Mtu mwenye akili utamwambia ukizini utapata STDs lakini asiye na akili utamwambia ukizini ni dhambi full stop, ule woga utamfanya asitende dhambi.
😂😂Kwamba unamini FACT? umenichekesha sana.😂😂We believe facts, truths known by actual experience
Kalahari ndio wapi?Kichekesho kwanini?! Wewe umewahi kufika Kalahari? Lakini umejuaje kwamba ipo si umesikia kwa watu?