Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Musa (Moses) alikuwapo na hata Jamaii/watu wakaweza kulinganisha matendo yake na yale ya Farao(Firauni) kwakuwa waliishi kipindi kimoja na ndipo wakaja na msemo uliopo kwetu hata hadi leo usemao "Ukishangaa ya Musa utayaona ya Firauni" Musa alikuwa ni kiongozi wa kidini au tuseme wa kijadi wa Waisraeli wakati Firauni (Farao)alikuwa ni kiongozi wa Dola/Serikali ya Misri. Waisraeli wakati huo walikuwa ni watumwa nchini Misri na Farao kipindi hicho-hicho ndiye aliyekuwa Mtawala (Mkuu wa Dola). Visa vyao ni vingi lakini kilichokuwa kisa maarufu zaidi ni kile kilichohusu Hukumu aliyotoa Firauni kwa jamaa mmoja aliyefumaniwa /aliyempa mimba mke wa jirani yake.Mkuu elliclassic sina evdence ya mkoNOni kuwa MUSA alikuwepo lakin meng yanaonyesha kuwa bible iko accurate,na sio fictious mfano kuinuka na kuanguka kwa empire mbalimbal kama roman, greek, medo-persian etc zingatia haya yalikuwa tayar yameandikwa ndpo yalitokea, , pia ayubu 26:7 inasema dunia ipo suspend pacpo na k2 wakat watu waliamni dunia iko suspended na mgongo ya tembo.
Hapo umegonga penyewe mkuu. Excellent.Mungu umpa mtu kwa wakati wake
Hahahaa. Mzee wa jero-jero. Pandisha basi hata kidogo jamaa angu walau iwe buku. Huyo mchunga kondoo ataishije? 😃 😃 😃 😃 Tusipobadilika tunawasukuma au tunawashinikiza kuanza / waanze kuwala kondoo.🏃♂️🏃♂️Sisi.wengine hizi dini, tumezishape kwa akili zetu, ili kupunguza sintofahamu kwa ndugu zetu. Mfano naamini setani hayupo, Mungu kwangu ni upendo au nature, naona wazungu na waarabu kama wametupotosha, church Kila j2 sikosi ila sadaka nikitoa kubwa sana basi tsh 500
Me natoaga Hadi 50Hahahaa. Mzee wa jero-jero. Pandisha basi hata kidogo jamaa angu walau iwe buku. Huyo mchunga kondoo ataishije? 😃 😃 😃 😃 Tusipobadilika tunawasukuma au tunawashinikiza kuanza / waanze kuwala kondoo.🏃♂️🏃♂️
QURAN 4: 82
"Hebu hawaizingatii hii Qur'ani? Na lau kuwa imetoka kwa asiye kuwa Mwenyezi Mungu bila ya shaka wangeli kuta ndani yake hitilafu nyingi '
Hebu rudia aya nilyoileta pale juu Quran 30:21-27 uangalie kama kuna uongo wowote hapo. Haya ni ambayo ni kweli katika uhalisia wa maisha yetu ya kila siku
-ni kweli Mvua inatoka mawinguni na ardhi ikipata maji inanawiri na kutoa mazao mapya
-ni kweli kuwa binadamu tumeumbwa kwa udongo scientifically proved
-ni kweli wanadamu tumetofautiana rangi na lugha na tumetawanyika duniani kote
- ni kweli binaadamu wote tunalala usiku na mchana tunatafuta riziki ya kuendesha maisha yetu
-ni kweli wanaume wanapata utulivu kutoka kwa wake zao
-ni kweli mbingu imesimama bila nguzo yeyote
aliyosema hayo ni Mwenyezi Mungu, je kuna uongo wowote hapo?
Duh! Hatari kweli.Me natoaga Hadi 50
Kwa kuanzia, Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote (kama aliyeandikwa katika Quran na Biblia) hayupo. Ni hadithi za kutungwa na watu tu.Kwema wakuu, kwa hali ilivyo najiuliza je kweli Kuna Mungu au ni business za watu kutufanya mazuzu na kula pesa zetu?
Sisi.wengine hizi dini, tumezishape kwa akili zetu, ili kupunguza sintofahamu kwa ndugu zetu. Mfano naamini setani hayupo, Mungu kwangu ni upendo au nature, naona wazungu na waarabu kama wametupotosha, church Kila j2 sikosi ila sadaka nikitoa kubwa sana basi tsh 500
Naam mkuu watu wanahangaika na vutu visivyokuwa vyao mfano wa baridi la ulaya lipo na kama kusema mtanzania na wewe unasikia baridi kisa lipo ulaya huo ni uongo kiwango cha mwishoNgoja nimtag Kiranga na Iblis Bin Shetan waje kutia neno[emoji4]
Mzee hivi FreeMasons ikiwemo akina Kanye West kumbe ndiyo wanakuabudu wewe?[emoji28]Naam mkuu watu wanahangaika na vutu visivyokuwa vyao mfano wa baridi la ulaya lipo na kama kusema mtanzania na wewe unasikia baridi kisa lipo ulaya huo ni uongo kiwango cha mwisho
Dini ndio zinazosema kuna mungu swali je dini ziliatokea wapi na nani alioleta ukristo au uislam
Kwema wakuu, kwa hali ilivyo najiuliza je kweli Kuna Mungu au ni business za watu kutufanya mazuzu na kula pesa zetu?
Kama mimi ? Yani anajamba ,anakunyaYupo kama wewe mkuu
Kadhia na madhila tumeyatengeneza wenyewe! Maadili, malezi na kuiga kila kitu vimefanya wanawake kutokutekeleza wajibu wao kama walezi wa familia. Kumbuka babu zetu walioa wanawake wengi wanakaa pamoja kwenye nyumba za nyasi na walikuwa wanaishi kwa furaha, amani na upendo wa hali ya juu!kuanzisha
By then watu wote walikuwa malofa, sema hayo maandishi au busara tunayoyaona sasaiv yaliwekwa sawa miaka 500+ baadae.Nyie waslam mnazingua asee nyie Mungu wenu mnaemwita Allah anawapanga sana asee,kuna vitu mkiulizwa huwa hamjibu kwasabb Muhammad aliwaacha bila maelezo
Ni biashara na ni siasa tu.Kwema wakuu, kwa hali ilivyo najiuliza je kweli Kuna Mungu au ni business za watu kutufanya mazuzu na kula pesa zetu?
Achana na hizo porojo kwani Kati ya Quran na hivyo ulivo vitaja kipi kilitangulia?QURAN 4: 82
"Hebu hawaizingatii hii Qur'ani? Na lau kuwa imetoka kwa asiye kuwa Mwenyezi Mungu bila ya shaka wangeli kuta ndani yake hitilafu nyingi '
Hebu rudia aya nilyoileta pale juu Quran 30:21-27 uangalie kama kuna uongo wowote hapo. Haya ni ambayo ni kweli katika uhalisia wa maisha yetu ya kila siku
-ni kweli Mvua inatoka mawinguni na ardhi ikipata maji inanawiri na kutoa mazao mapya
-ni kweli kuwa binadamu tumeumbwa kwa udongo scientifically proved
-ni kweli wanadamu tumetofautiana rangi na lugha na tumetawanyika duniani kote
- ni kweli binaadamu wote tunalala usiku na mchana tunatafuta riziki ya kuendesha maisha yetu
-ni kweli wanaume wanapata utulivu kutoka kwa wake zao
-ni kweli mbingu imesimama bila nguzo yeyote
aliyosema hayo ni Mwenyezi Mungu, je kuna uongo wowote hapo?