Hivi Mungu yupo au ni mipango ya watu kujipatia ajira na pesa?

Mwenyewe sielewi yaan! Tunatishwa vitu vingi sana hasa kwenye uislam! Mara tunaambiwa kuna dajal mara sijui kuna shetan
 
Ogopa hiyo kauli,Tajiri wa Titanic alisema meli yake haitazamishwa hata na Mungu, safari ya kwanza ikazama.

Fikiria shahawa zinakua mtu, mbegu inaota, unavuta hewa free.
Umemaliza umeua hatari
 
Kwa uchambuzi wa kina Mungu yupo ila hizi dini ni maujanja ya wachache. Tujitahidi kumtafuta Mungu wa kweli.
 
To me, common sense, logic, imagination, rational thinking, intuition ànd high power mental reasoning negates the existence of God!

Nasubiri matoni from an educated mind, without violating my rights to think otherwise!

Usiku mwema!
 
There's no God or Devil

Hakuna aliyewahi kufa kafufuka, death is the end, there is no life after death

Dini ndio njia rahisi zaidi ya kumuongoza binadamu asiyefikiri kwa kina

Mtu mwenye akili utamwambia ukizini utapata STDs lakini asiye na akili utamwambia ukizini ni dhambi full stop, ule woga utamfanya asitende dhambi.
 
Yaah uthibitish0 upo…kupitia viumbe vyake kama mwezi,jua na sayari alizoziumba pia alama zake kama kuingia usiku na mchana..

Hzo ni alama tosha kwa mwenye akili kuamini mungu yupo..
Hahaha
 
makes a lot of sense!
 
To me, common sense, logic, imagination, rational thinking, intuition ànd high power mental reasoning negates the existence of God!

Nasubiri matusi of all kinds, but from an educated mind? Without violating my rights to think otherwise!

Usiku mwema!
Mungu yupi sasa Allah au Jehovah au Ngwakina au Krishina and ect.......Inategemea unaulizia Mungu yupi msomi???
 
There's no God or Devil

Hakuna aliyewahi kufa kafufuka, death is the end, there is no life after death

Dini ndio njia rahisi zaidi ya kumuongoza binadamu asiyefikiri kwa kina

Mtu mwenye akili utamwambia ukizini utapata STDs lakini asiye na akili utamwambia ukizini ni dhambi full stop, ule woga utamfanya asitende dhambi.
Wewe umejuaje thete is no life after death???
 
Yaah uthibitish0 upo…kupitia viumbe vyake kama mwezi,jua na sayari alizoziumba pia alama zake kama kuingia usiku na mchana..

Hzo ni alama tosha kwa mwenye akili kuamini mungu yupo..
Una uthibitisho kuwa viliumbwa na mungu na si evolution? Nikutikise kidogo, Kwahiyo Mungu aliumba Krebs cycle? (nimechagua hii maana inatuhusu kuishi kwetu, among many in our bodies) why all that trouble kuumba Krebs cycle? ( krebs cycle ambayo unaisoma leo imekuwa deciphered after 100 yrs of intensive research. )
 
Luka 6:12

Ikawa siku zile aliondoka akaenda mlimani ili kuomba, akakesha usiku kucha akimwomba Mungu.
 
To me, common sense, logic, imagination, rational thinking, intuition ànd high power mental reasoning negates the existence of God!

Nasubiri matusi of all kinds, but from an educated mind? Without violating my rights to think otherwise!

Usiku mwema!
Wewe mzee wa kilokole umeanza lini kuwa Atheist au agnostic uchwara?
salamu katika Bwana Yesu. Amen

Good, tusali wote kwa pamoja kama familia moja ya Yesu. AMEN

Kristu, tumaini Letu.

Asante Bwana Yesu, Asante Tena Bwana Yesu. Kila mtu amshukuru Mungu Kwa Imani yake.
Asante Bwana Yesu.

Namshukuru Allah kwa neema ya Uislam.

Allah akuongoze katika njia iliyonyooka. Nakuonea huruma sana unavyotanga tanga.

Ewe Mwenye kuzigeuza nyoyo, uthibitishe Moyo wangu katika Dini yako.
 
Back
Top Bottom