kibobori mahoro
JF-Expert Member
- Dec 12, 2022
- 7,452
- 10,785
Hebu waulize wanaoishi kwa kula sadaka, mtu mwaminifu kabisa atasema " ni maujanja tu ya kuishi"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yupoje?Yupo mkuu ila hayupo kma tunavyoaminishwa kwenye din
Yatafute majibu ndani ya nafsi yako tu mkuu utayapata Kwa wakati wako na utaridhika nayo.Kwema wakuu, kwa hali ilivyo najiuliza je kweli Kuna Mungu au ni business za watu kutufanya mazuzu na kula pesa zetu?
Umemaliza umeua hatariOgopa hiyo kauli,Tajiri wa Titanic alisema meli yake haitazamishwa hata na Mungu, safari ya kwanza ikazama.
Fikiria shahawa zinakua mtu, mbegu inaota, unavuta hewa free.
Hali gani? Fafanua kwanza hiyo hali ni ipi na ikoje; inayokufanya hadi ujiulize.kwa hali ilivyo
HahahaYaah uthibitish0 upo…kupitia viumbe vyake kama mwezi,jua na sayari alizoziumba pia alama zake kama kuingia usiku na mchana..
Hzo ni alama tosha kwa mwenye akili kuamini mungu yupo..
makes a lot of sense!There's no God or Devil
Hakuna aliyewahi kufa kafufuka, death is the end, there is no life after death
Dini ndio njia rahisi zaidi ya kumuongoza binadamu asiyefikiri kwa kina
Mtu mwenye akili utamwambia ukizini utapata STDs lakini asiye na akili utamwambia ukizini ni dhambi full stop, ule woga utamfanya asitende dhambi.
Mungu yupi sasa Allah au Jehovah au Ngwakina au Krishina and ect.......Inategemea unaulizia Mungu yupi msomi???To me, common sense, logic, imagination, rational thinking, intuition ànd high power mental reasoning negates the existence of God!
Nasubiri matusi of all kinds, but from an educated mind? Without violating my rights to think otherwise!
Usiku mwema!
Wewe umejuaje thete is no life after death???There's no God or Devil
Hakuna aliyewahi kufa kafufuka, death is the end, there is no life after death
Dini ndio njia rahisi zaidi ya kumuongoza binadamu asiyefikiri kwa kina
Mtu mwenye akili utamwambia ukizini utapata STDs lakini asiye na akili utamwambia ukizini ni dhambi full stop, ule woga utamfanya asitende dhambi.
Una uthibitisho kuwa viliumbwa na mungu na si evolution? Nikutikise kidogo, Kwahiyo Mungu aliumba Krebs cycle? (nimechagua hii maana inatuhusu kuishi kwetu, among many in our bodies) why all that trouble kuumba Krebs cycle? ( krebs cycle ambayo unaisoma leo imekuwa deciphered after 100 yrs of intensive research. )Yaah uthibitish0 upo…kupitia viumbe vyake kama mwezi,jua na sayari alizoziumba pia alama zake kama kuingia usiku na mchana..
Hzo ni alama tosha kwa mwenye akili kuamini mungu yupo..
Kwani huyo mnayemuamini kuwa yupo si ni mmoja? mungu huyo ambaye mnasema yupo has got different naming!Mungu yupi sasa Allah au Jehovah au Ngwakina au Krishina and ect.......Inategemea unaulizia Mungu yupi msomi???
Wewe mzee wa kilokole umeanza lini kuwa Atheist au agnostic uchwara?To me, common sense, logic, imagination, rational thinking, intuition ànd high power mental reasoning negates the existence of God!
Nasubiri matusi of all kinds, but from an educated mind? Without violating my rights to think otherwise!
Usiku mwema!
salamu katika Bwana Yesu. Amen
Good, tusali wote kwa pamoja kama familia moja ya Yesu. AMEN
Kristu, tumaini Letu.
Asante Bwana Yesu, Asante Tena Bwana Yesu. Kila mtu amshukuru Mungu Kwa Imani yake.
Asante Bwana Yesu.