Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni MWANA WA MUNGU! aliyekuja kwa umbo la BINAADAMU.Yesu ni mwana wa Mungu aliyekuja duniani kwa umbo la kibinadamu ili aukomboe ulimwengu.
Aisee mudy alikuwa anaakiri sana, kapitia umoumo hadi kajiita mtume! Sasa kawa Yesu ni nabii ,mbona yeye akubatizwa kama yesu alivyo batizwa?Sheikh unalizia elimu kubwa ! Ila kifupi tu nikujuze kuwa Muhammad anaambiwa ndani ya Qur'an kuwa ameusiwa dini ile ile aliyousiwa Musa, Issah (Yesu) Nuhu, Ibrahim na Manabii wote, waliotajwa na wasio tajwa.
Labda nikuulize, Musa na Nduguye Harun walikuwa dini gani !?
Zamani alikuwa na umbo la mungu ! Kwahiyo mungu na mwanae walikaa kikao akaona mwanae ateremke kama mtu, kisha watu wakamuotea, wakampa shughuli !? ...duuuh ! Kweli mmepotea !Ni MWANA WA MUNGU! aliyekuja kwa umbo la BINAADAMU.
??????????????
Ajabu mwana mingu kubatizwa na watu, sijui ili aweje !?Aisee mudy alikuwa anaakiri sana, kapitia umoumo hadi kajiita mtume! Sasa kawa Yesu ni nabii ,mbona yeye akubatizwa kama yesu alivyo batizwa?
Biblia yoyote ya kiingereza utakuta Jesus ya kiswahili utakuta Yesu ya kinyakyusa utakuta Jesu. Niambie Qur'an tafsiri ya lugha gani ina jina Yesu ukikosa basi tambua Yesu na issa ni watu tofautiNaomba tafuta Biblia la Kiingereza tena la King James, nipigie picha mahali pameandikwa 'YESU' kuna laki mbili !
Swali kama hili nilishawahi kukujibu nikakupa hadi evidence za Biblia na Quran kwamba Yesu wa wakristo na wa Waislamu ni tofauti mpaka ukakoswa cha kujibu ukabaki kulazimisha unasema "ndio huyo huyo kama hutaki acha".Wewe ndo umesema ! Mnadanganywa na kitabu kinachokarabatiwa kila uchwao !
Hivi kwanini Jesus aitwe Yesu !?
Hilo jina nimeipa mimi kumaanisha ilifuatwa na Waisraeli mimi kwa sababu kwa mjibu wa Biblia hamna popote ilipotajwa jina la hiyo dini.Dini ya kiisrael ndo dini gani !?
Haswaaaa Issa Bin Maryam na Yesu ni watu Tofauti kabisa.Biblia yoyote ya kiingereza utakuta Jesus ya kiswahili utakuta Yesu ya kinyakyusa utakuta Jesu. Niambie Qur'an tafsiri ya lugha gani ina jina Yesu ukikosa basi tambua Yesu na issa ni watu tofauti
Siku zote ukitaka kujua kitu kigeni kwako lazima uwapate wenyeji kwanza wakupe habari za kina kuhusu hicho kitu. Nahisi hapa umetoa taarifa ambazo sina shaka utakuwa umetoa kwa mtu asiyeujua uislam.Yaani muislam au mjewish(mjuda)?
Majibu tafadhili.
Update
Musa alikuwa ni muebrania(moja ya kabira la wayaudi)
Na aliwaongoza wayaudi kwenda israel kwa imani ya wayaudi. Yaan Mungu alietenanisha bahari na aliewalisha mda wote
Na ikumbukwe hakuna myaudi muislam
Na kihistoria alienzisha au kukuza uislam ni Mohammad na uislam haukuepo enzi hizo
Kuna wengine wanafika adi hatua ya kusema Adam alikuwa muislam. Cjui maantiki yao ni wap. Na upande wa kuchoma kondoo ili kuondolewa dhambi je??
Ndo huyo huyo, Issah mwana wa Maryam. Hutaki ndo hivyo unataka ndo hivyo. Mtaelewa nini nyie wakati dini hamsomi !Swali kama hili nilishawahi kukujibu nikakupa hadi evidence za Biblia na Quran kwamba Yesu wa wakristo na wa Waislamu ni tofauti mpaka ukakoswa cha kujibu ukabaki kulazimisha unasema "ndio huyo huyo kama hutaki acha".
Hivi kwa nini nyinyi watu ni wagumu kuelewa.
Mnaona wayahudi wenzeenu, wakati wanamuita Yesu mwanaharamu !Hilo jina nimeipa mimi kumaanisha ilifuatwa na Waisraeli mimi kwa sababu kwa mjibu wa Biblia hamna popote ilipotajwa jina la hiyo dini.
Kumbuka Wayahudi ni watu wa kabila moja tu la yuda,Hiini baada ya makabila kumi na moja kujitenga na kabila la Yuda baada ya kifo cha Mfalme Sulemani.Ila Israeli ni muungano wa makabila yote ya Yakobo.Musa alikuwa wa kabila Lawi hivyo ni muisraeli sio myahudi.
Si uSeme sijui kwani utazomewaYesu ni mwana wa Mungu aliyekuja duniani kwa umbo la kibinadamu ili aukomboe ulimwengu.
Wewe wasema ! Na Jesus na Yesu ? Yohana na John ?, Jacob na Yakobo ?, Musa na Moses ?Haswaaaa Issa Bin Maryam na Yesu ni watu Tofauti kabisa.
Bora wewe[emoji84] [emoji83] umejiropokeaMusa alikuwa Mngindo
chagua kimoja cha kusoma kama unataka kuelewa ila kama unataka kuamini usisome hata kimoj na ukitaka kulewa soma vyoteSoma vitabu vya dini zote ili ujue ukweli na uongo
hakuna kabila la waarabu katika agano la kale sidhani kama wamidian ndo waarabu wa leo...waarabu, arabuni, ni kama sehemu ya starehe ya kufikirika katika biblia its like Paradise may be sijui kama unaweza kusema waebrania ni waparadiso wa leoMusa alikuwa Muisraeli tena wa uzao wa Lawi ambao ndiyo waliokuwa makuhani katika hekalu la maturubai . Uislamu umeanza miaka mia sita baada ya Ukristo kuanzia pale Antiokia. Wakati wa Musa, Uislamu haukuwepo, ila waarabu (wamidiani) walikuwepo na walikuwa wakiabudu miungu.
Sasa kama wewe umeshindwa kuelewa kitu kidogo kama hicho sioni faida ya kuwa na elimu ya dini zaidi inakufanya mtumwa wa kifikra.Ndo huyo huyo, Issah mwana wa Maryam. Hutaki ndo hivyo unataka ndo hivyo. Utaelewa nini nyie na dini hamsomi !