Hivi Musa alikuwa Myahudi au Mwarabu?

Hivi Musa alikuwa Myahudi au Mwarabu?

Yaani muislam au mjewish(mjuda)?

Majibu tafadhili.

Update
Musa alikuwa ni muebrania(moja ya kabira la wayaudi)
Na aliwaongoza wayaudi kwenda israel kwa imani ya wayaudi. Yaan Mungu alietenanisha bahari na aliewalisha mda wote
Na ikumbukwe hakuna myaudi muislam
Na kihistoria alienzisha au kukuza uislam ni Mohammad na uislam haukuepo enzi hizo
Kuna wengine wanafika adi hatua ya kusema Adam alikuwa muislam. Cjui maantiki yao ni wap. Na upande wa kuchoma kondoo ili kuondolewa dhambi je??
Hakuna myahudi muislam una maana gani?
 
Mnaona wayahudi wenzeenu, wakati wanamuita Yesu mwanaharamu !
Suala la kuwapenda Wayahudi ni suala la mtu binafsi.Mimi siwakubali Wayahudi ukigeneralize unakosea sana.

Mbona kuna watu wanawapenda Waarabu lakini waliwauza babu zetu enzi za utumwa na kuwanyanyasa sana.
 
Abraham alikuwa anaamini katika dini gani?
Wapi imeandikwa kwenye quran kuwa yy ndo atahukumu,nina imani umesoma quran ukaona niambie na mimi nikasome
Kama ni nabii tu kwa nini yeye ndiye pekee atakaye uhukumu ulimwengu siku ya kiama.Soma Quran ,soma Biblia ujiulize hilo swali.Kwa nini sio Musa,Kwa nini sio Isaya au Mohammed ??
 
Mnaona wayahudi wenzeenu, wakati wanamuita Yesu mwanaharamu !
Suala la kuwapenda Wayahudi ni suala la mtu binafsi.Mimi siwakubali Wayahudi.

Mbona kuna watu wanawapenda Waarabu lakini waliwauza babu zetu enzi za utumwa na kuwanyanyasa sana.
 
Ukisoma katika biblia kutoka 2:1 na kuendelea inaeleza wazi juu ya kuzaliwa kwa Musa, kulelewa kwake na pia kutoroka misri baada ya kuua mmisri ambayo inabainisha wazi Musa alikuwa Muyahudi toka kabila la lawi
 
hakuna kabila la waarabu katika agano la kale sidhani kama wamidian ndo waarabu wa leo...waarabu, arabuni, ni kama sehemu ya starehe ya kufikirika katika biblia its like Paradise may be sijui kama unaweza kusema waebrania ni waparadiso wa leo
Musa alipoua Mmisri, na kutoroka , alitorokea nchi ya Midian ambao ndiyo Arabia ya Leo. Fahamu kuwa Mlima Sinai Uko Saudi Arabia ndiko Mungu aitwaye NIKO NILIYE NIKO alipomtokea Musa.
 
Wewe wasema ! Na Jesus na Yesu ? Yohana na John ?, Jacob na Yakobo ?, Musa na Moses ?
Mkuu kwanza utambue kuwa mm sio mwenye kukupinga ww. Twende sasa kwenye point yenyewe.

Issa Bin Maryam huwez kusema kuwa ni Yesu hawa watu wawili ni wanatofauti kubwa sana. Kwanza kabisa Issa Bin Maryam si mwana wa Mungu lakini Yesu wanasema kwamba ni Mwana wa Mungu. Pili wanasema kuwa Yesu alisurubiwa msalabani, wakati Issa Bin Maryam Hakufanyiwa kitendo kama hicho.

Hayo ni baadhi tu yanayo wafanya hawa watu kuwa tofauti ndio maana nasema Issa Bin Maryam si Yesu kama watu wengi wanavyo amini hivyo. Hivyo hivyo kwa Musa si sawa na Moses. Pia Allah (sw) sio Mungu.

Na Allah (sw) ni Mjuzi Zaidi.
 
Uislamu ulikuwa toka ,Adam,ndio maana waislamu wannamini Mitume kuanzia Adam ,mpaka Yesu.Mtime Muhammad sio mwanzilishi wa uislamu,yeye ni muenelezaji wa uislamu,uliokuwako,na akausakbaza dunia nzima.
Maelezo yangu yanabase katika Biblia ambayo Mungu anajitambulisha kwa jina la YAHWEH,au JEHOVA,.na sio Miungu wa vitabu vingine ambvyo Mimi havinihusu.
 
Mkuu kwanza utambue kuwa mm sio mwenye kukupinga ww. Twende sasa kwenye point yenyewe.

Issa Bin Maryam huwez kusema kuwa ni Yesu hawa watu wawili ni wanatofauti kubwa sana. Kwanza kabisa Issa Bin Maryam si mwana wa Mungu lakini Yesu wanasema kwamba ni Mwana wa Mungu. Pili wanasema kuwa Yesu alisurubiwa msalabani, wakati Issa Bin Maryam Hakufanyiwa kitendo kama hicho.

Hayo ni baadhi tu yanayo wafanya hawa watu kuwa tofauti ndio maana nasema Issa Bin Maryam si Yesu kama watu wengi wanavyo amini hivyo. Hivyo hivyo kwa Musa si sawa na Moses. Pia Allah (sw) sio Mungu.

Na Allah (sw) ni Mjuzi Zaidi.
Kaisome Biblia kuhusu kusulubiwa Yesu, Injil zote za wapambe wanne Marko, Luka, Yohana na Mathayo zinatofautiana.
Qur'an inamaliza kwa kusema: wala hawana yakini (ujuzi/uhakika) na lililotokea bali ni watu wanaofuata dhana tu (uzushi) !
Biblia inasema katika matendo ya Mitume: maombi na kulia sana na machozi ndipo akasikilizwa kwa kuwa ni mwana wa mungu (Baba naomba kikombe hiki kiniepuke !)
 
Hivi umenielewa lakin?

Kwahyo ww unaamini kuwa Issa Bin Maryam eti Ndio Yesu Mwana wa Mungu.!???
 
Wakati wa Yesu akiwepo kulikuwa na Dini gani ?!
Kulikuwa na dini nyingi tu. 1. Dini ya kiyahudi iliyofuatwa na wana wa Israeli ambayo Mungu wake ndiye JEHOVA.. 2. Dini ya Baal au molech, ambao walikuwa wakiabudu Moon Goddess (Mungu jike aliyeitwa mwezi).
 
Hivi umenielewa lakin?

Kwahyo ww unaamini kuwa Issa Bin Maryam eti Ndio Yesu Mwana wa Mungu.!???
....tatizo hatuzingatii maoni yako, tunafuata maandiko. Usichojua ni kuwa hata Biblia inaonyesha kuna contradiction kuhusu kusulubiwa Yesu, na yako maandiko wazi yanayoonyesha Yesu hakusulubiwa.
Kwakuwa hamsomi hilo buku, mmekalia kuropoka ropoka !
Mungu hakuzaa wala hakuzaliwa wala hafanani na chochote. Kamsome Nabii Isaya na Musa uone wanavyoelezee sifa za Mungu
'Bwana Mungu ananena kwa kinywa cha Nabii Isaya; mtanifananisha na nani na kunisawazisha nae tuwe sawa sawa ?
Nabii Musa; soma kumbu kumbu 20:22
 
Kulikuwa na dini nyingi tu. 1. Dini ya kiyahudi iliyofuatwa na wana wa Israeli ambayo Mungu wake ndiye JEHOVA.. 2. Dini ya Baal au molech, ambao walikuwa wakiabudu Moon Goddess (Mungu jike aliyeitwa mwezi).
Na Yesu alihubiri Dini gani ?
 
Yaani muislam au mjewish(mjuda)?

Majibu tafadhili.

Update
Musa alikuwa ni muebrania(moja ya kabira la wayaudi)
Na aliwaongoza wayaudi kwenda israel kwa imani ya wayaudi. Yaan Mungu alietenanisha bahari na aliewalisha mda wote
Na ikumbukwe hakuna myaudi muislam
Na kihistoria alienzisha au kukuza uislam ni Mohammad na uislam haukuepo enzi hizo
Kuna wengine wanafika adi hatua ya kusema Adam alikuwa muislam. Cjui maantiki yao ni wap. Na upande wa kuchoma kondoo ili kuondolewa dhambi je??
EBRANIA/EBREW HALIKUWA KABILA KWA MAANA KABILA KATI YA MAKABILA 12 YA WANA WA YAKOBO/ISRAEL BALI ILIKUWA NI LUGHA INAYOWAUNGANISHA WANA WA ISRAEL.YEYE MUSA NI KABILA LA LAWI
 
Back
Top Bottom