Bandiwe
JF-Expert Member
- Oct 19, 2013
- 9,530
- 3,556
Nikuulize, Musa alikuwa na Tourat, Daudi na Zaburi, Yesu na Injil, Muhammad na Qur'an, hivi Biblia ni kitabu cha nani !? Maana kwenye hiyo Biblia hamna hata hiyo Injil ya Yesu, kuna ya Luka, Marko, Yohana na Mathayo.Kwa mjibu wa Biblia hata Musa alifundisha Jino kwa Jino.
Lakini Yesu alisema mtu akikupiga shavu la kulia mgeuzie la kushoto.
Bado unashangaa Yesu kutokufundisha utatu mtakatifu?
Uwezo wako mdogo ndugu, huna elimu ya dini.