Ni dini gani hiyo?Abram, alipoitwa na Mungu ( Mungu anayeelezwa katika Biblia), atoke katika nchi ya kwao aende nchi atakayoambiwa , alikuwa akiamini katika Mungu aliye hai na si miungu. Mwanza 13:18. Abram akamjengea Bwana(MUNGU) madhabahu katika mialoni ya Memre.
Mungu aliye hai ni yupi !? Maana wakiristo mnasemaga Yesu mungu ! Sasa Musa alimuabudu mungu yupi ?Abram, alipoitwa na Mungu ( Mungu anayeelezwa katika Biblia), atoke katika nchi ya kwao aende nchi atakayoambiwa , alikuwa akiamini katika Mungu aliye hai na si miungu. Mwanza 13:18. Abram akamjengea Bwana(MUNGU) madhabahu katika mialoni ya Memre.
Sisi tunamwita Yesu mwana wa Maryam ! (Issah bin Maryam)Baba yake nani? Maana hapo ndipo mnapojichanganya. Ukiwa mpingaji, utapinga kila kitu. Mafundisho mengine shida sana.
Hakukuwa na dini, bali yeye Abram alikuwa akimwabudu Mungu aliye hai(muumba mbingu na nchi.Dini zilizokuwapo wakati huo ni dini za kuabudu miungu kama vile Baal.Ni dini gani hiyo?
Mussa alikuwa Muyahudi, muebrania.Yaani muislam au mjewish(mjuda)?
Majibu tafadhili.
Update
Musa alikuwa ni muebrania(moja ya kabira la wayaudi)
Na aliwaongoza wayaudi kwenda israel kwa imani ya wayaudi. Yaan Mungu alietenanisha bahari na aliewalisha mda wote
Na ikumbukwe hakuna myaudi muislam
Na kihistoria alienzisha au kukuza uislam ni Mohammad na uislam haukuepo enzi hizo
Kuna wengine wanafika adi hatua ya kusema Adam alikuwa muislam. Cjui maantiki yao ni wap. Na upande wa kuchoma kondoo ili kuondolewa dhambi je??
Musa alimwabudu MUNGU aliye hai ambaye alijitambulisha kama Mungu wa Baba yake Musa, Mungu wa Ibrahim, Mungu wa Osaka, Mungu wa Yakobo. Kutoka 3:6. Musa alipomuuliza Mungu kuwa akamueleze farao ametumwa na Mungu yupi, Mungu alimwambia akaseme ametumwa na MUNGU aitwae "Mimi Niko ambaye Niko".. Kutoka 3:14..Mungu aliye hai ni yupi !? Maana wakiristo mnasemaga Yesu mungu ! Sasa Musa alimuabudu mungu yupi ?
Musa na Adam walikiri kwa moyo na kutamka kwa ulimi ya kuwa 'hapana Mola apasae kuabudiwa kwa haki ila Mwenyezi Mungu Mmoja.Mussa alikuwa Muyahudi, muebrania.
Mussa hakuwa Muislam.
Katika Uislam "SHAHADA" ni jambo la kwanza kabisa.
Shahada ni nini?
Ni kukiri kuwa hakuna Mungu mwingine zaidi ya Allah mmoja asiyefananishwa.
Pia ni kukiri kuwa Muhammad ni mtume wa Allah.
(La ilaha illa -Illahu muhammadun rasulu-illah)
Huwezi kuwa Muislam Abadani bila kutaja hayo maneno kutoka rohoni na kumaanisha.
Je Mussa na Adam waliyatamka hayo maneno?
Je wakati huo wangemkiri vipi Muhammad kuwa mtume wa Allah wakati hata hakuwepo?
Wallah, hawakuwa waislam hao kwani hawakushuhudia kokote.
Kwahiyo hapo Mungu hakuwa Yesu !? machomanneMusa alimwabudu MUNGU aliye hai ambaye alijitambulisha kama Mungu wa Baba yake Musa, Mungu wa Ibrahim, Mungu wa Osaka, Mungu wa Yakobo. Kutoka 3:6. Musa alipomuuliza Mungu kuwa akamueleze farao ametumwa na Mungu yupi, Mungu alimwambia akaseme ametumwa na MUNGU aitwae "Mimi Niko ambaye Niko".. Kutoka 3:14..
Hata kumuabudu Mungu aliye hai ilikuwa ni Dini !Hakukuwa na dini, bali yeye Abram alikuwa akimwabudu Mungu aliye hai(muumba mbingu na nchi.Dini zilizokuwapo wakati huo ni dini za kuabudu miungu kama vile Baal.
Kuanzia Adam mpaka Yesu walitoa shahada !Musa hakuwa Muislam kwasababu lukuki:-
- Aliishi kabla ya Uislam uliosambazwa na Muhammad kuwepo
- Hakushuhudia popote pale, na wakati Shahada ndio kwanza inamfanya Bin'adam kuwa muislam.
Walisema wengi kabla yako ! Na wayahudi walimdai Musa awaletee Mungu mbele ya wamuone !Endeleeni kusumbuana na kubishana na mambo ya kufikirika ambayo hayajawahi kuwepo.ni story tu kama ngano za kiafrica.
Waungu walio wafu ni kama Baal, sanamu za kuchonga ,ibada za wafu, mashetani, damons, na waabudu miti(Druids), hao ndio miungu wafu hawawezi kumsaidia anayewaamini kwa vile hawadumu.Hata kumuabudu Mungu aliye hai ilikuwa ni Dini !
Hivi waungu gani walikuwa wafu mpaka Abraham awe na Mungu aliye hai !?
Ila hukuona Biblia ni ya kukopi na kupesti ?!Mimi nilikuwa muislamu safi. Niliamua kusoma koran na biblia kwa umakini Sana na kufanya utafiti WA Hali ya juu Sana tena kwa muda mrefu Sana. Nikagundua kuwa uislamu ni hadithi zaidi muhamadi aliikopy na kupest mäandishi mengi toka kwenye biblia na kuyaingiza kwenye biblia. Ukweli waislamu wanakaririshwa uongo mkubwa Sana. Wanaaminishwa mambo ya uongo mkubwa. Ndo mana pia Nikagundua pia mashehe wetu wengi hawajasoma wengi wanakaririshwa tu. Ndipo Nikagundua waislamu wengi wanatetea uislamu kwa Magomvi na mauaji. Nikagundua kuwa muislamu anaweza hubiri ulaya lkn si rahisi mkristo akahubiri bara la Asia lzm atauawa.. Nilipogundua uongo huu WA korani na ubaya na ukatili wa waarabu niliamua kuhama dini hii miaka 20 iliyopita. Hakika uislamu ni dini iliyojaa uongo ukatili ushirikina na waislamu Hawana Hofu ya mungu.
Na Yesu alipofia msalabani ilikuwaje !? Alikuwa mungu mfu ? Vipi misalaba na mapicha na masanamu yaliyojazana ndani ya makanisa, wale si waungu wafu ?Waungu walio wafu ni kama Baal, sanamu za kuchonga ,ibada za wafu, mashetani, damons, na waabudu miti(Druids), hao ndio miungu wafu hawawezi kumsaidia anayewaamini kwa vile hawadumu.
Ni uongo tu hata hiyo story ya Musa ni wa uongo Misri kwenyewe hakujawahi kuwepo ushahidi wa Wayahudi sijui Waisraeli kuwepo huko.Walisema wengi kabla yako ! Na wayahudi walimdai Musa awaletee Mungu mbele ya wamuone !
Hata utumwa haukuwepo na vita vya maji maji, ni stori tu !Ni uongo tu hata hiyo story ya Musa ni wa uongo Misri kwenyewe hakujawahi kuwepo ushahidi wa Wayahudi sijui Waisraeli kuwepo huko.
Sasa kama hyskosy inajulikana waliwahi kutawala Misri howcome Wayahudi wasijulikane wala ushahidi usiwepo.
Endeleeni kukariri hadithi za Waarabu na Wayahudi.
Ila hata nikirudi kwenye topic yenu kwa kujitoa ufahamu Musa alikuwa Muisraeli aliyefuata dini ya kisraeli ndiye mwandishi wa Torati ambayo ndio msingi wa dini hiyo.