Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Umri wa kuoa umefika? Kama bado we endelea kubonyeza maparachichi.....Kwahio umebariki nioe nakuoa kabisa😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umri wa kuoa umefika? Kama bado we endelea kubonyeza maparachichi.....Kwahio umebariki nioe nakuoa kabisa😂😂
Mi nililiachaga baada ya kuoa. Sikutaka mambo mengi. Lakini Happy Mchaga alikuwa Moto kinoma.Angalizo gani hilo sikia Mkuu kama wewe ulikula Mda wako ushapita Niheshimu Mimi saivi Ndio namiliki zigo[emoji23][emoji23]
Na kama ulishindwa hata kumtia Mimba,Mwananume ndio naenda kufanya kilichokushinda[emoji23]
Ushauri Muhimu huu siwez kuuacha🙏🙏Umri wa kuoa umefika? Kama bado we endelea kubonyeza maparachichi.....
Kwahio Umeoa na upo busy mitandaoni mida kama hii wenzako wapo kwenye Jakuzi na wake zao wanaitwa Baba Uchebe 😂😂Mi nililiachaga baada ya kuoa. Sikutaka mambo mengi. Lakini Happy Mchaga alikuwa Moto kinoma.
Kuna ulazima wowote wa binadamu kufanana ratiba?Kwahio Umeoa na upo busy mitandaoni mida kama hii wenzako wapo kwenye Jakuzi na wake zao wanaitwa Baba Uchebe [emoji23][emoji23]
#Joke[emoji23]
Kwahio huyu sio Mwanamke?Ndio maana huwa nawasisitiza mtupatie sana hela, si mnaona sasa[emoji2369]
Mkuu ana Salon tu ya kike ila sijawahi muuliza inamwingizia kiasi gani coz mwenyewe sipendi kujuajua vipato vya wanawake coz hata mimi sipend kipato changu wakijue.Google search "wife material". Ila kuna ya kujiuliza apo.... Kwann haombi?, ana kazi inayompa kipato?, n.k
Tukiombwa pesa tunalalamika, tusipoombwa tunashtuka[emoji23][emoji23]
leo wanafungwa tunawasisitizia team ole munafungwa 🤣🤣Naomba tu bold hii comment. Ili team Ole wote waione.
Naomba tu bold hii comment. Ili team Ole wote waione..
Mjiheshimu tafadhali😂leo wanafungwa tunawasisitizia team ole munafungwa 🤣🤣
Kipigo kipo pale pale mkuu, usichukie! [emoji23]Mjiheshimu tafadhali[emoji23]
Ndio ndio
Sema wewe hufeel good ,usimsemee mwenzako nilie nae.Your love can’t live without money.....
Huyo wa pili jua kuna mtu anahudumia by any means.. unataka kusema hata vochs huombwi[emoji2][emoji2]
Sisi wanawake hufeel good sana tukipewa hela kwakweli.
Wewe ni mwanamke au msichana?Your love can’t live without money.....
Huyo wa pili jua kuna mtu anahudumia by any means.. unataka kusema hata vochs huombwi[emoji2][emoji2]
Sisi wanawake hufeel good sana tukipewa hela kwakweli.
Sema wewe hufeel good ,usimsemee mwenzako nilie nae.
Huyu ana kaz yake kwanza nahisi ndio maana hapendi.
Huyo anaumwa.Kwahio huyu sio Mwanamke?
Ndo mjue hamjui mnachotaka, hivyo ni kazi yetu kuwaomba ili akili zikae sawa.Google search "wife material". Ila kuna ya kujiuliza apo.... Kwann haombi?, ana kazi inayompa kipato?, n.k
Tukiombwa pesa tunalalamika, tusipoombwa tunashtuka[emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sema wewe hufeel good ,usimsemee mwenzako nilie nae.
Huyu ana kaz yake kwanza nahisi ndio maana hapendi.