Hivi Mwanamke kutopenda Kuomba Omba Hela kwa Mpenzi wake ina Maana gani?

Nimesema kabisa kua nikimpa hela ananuna ana mind yan ashasema mpaka aniombe sasa haniombi mimi nijipendekeze tu huku utelezi napewa na kuogeshwa naogeshwa..Kwenda huko endelea kupenda ww wenzako wanamitaji yao

OK
 
Wanawake wengi mjini hapa wanapenda hela.....

Kutokukuomba hela ni technique ya wewe kutoa hela

Wanaume mwalimu wenu sijui alikufa kabla ya kuwafundisha topic zote?????
 
Siwezi kumpa hela mtu asieniomba

Hata akiniomba nitaangalia uzito wa shida yake

Ya Nini nihudumie wakati najua tutaachana muda wowote!! .
 
She aiming for something big (Ndoa) anajua Wanaume wengi mwanamke asieomba hela tayar tunampa vigezo vyote vya kua Wife material, na wewe naona kama upo kwenye hilo kundi la Wanaume wengi kwa ufupi kakukamata

Baada ya hilo usishangae akakutoa hata lunch na dinner kwa pesa yake na akakufululizia zawadi hadi ukapagawa hela hutoi hakuulizi na yeye anatoa zake kwa fujo pluss kufinyiwa kwa ndani chief unatangaza ndoa

"Ana saloon yake hapa mjini" Man wanawake wenye vibiashara vyao ndo wanaongoza kwa kua na matumizi makubwa ya pesa na wanaijua kweli pesa hivyo hua wanakuaga na sponsors kibao hizo saloon ni kama gundi ya kunasia pesa

Kama hakuombi pesa wala usiulize na usitume kabisa kama alivyosema, we Zidisha mapenzi kula Free papuchi ila cha kukushauri usijaribu kwenda kulala kwake hata siku moja hapo ni sawa na kumueka Mwaikimba rehani maana anaehudumia akikukuta can't express the feeling tukiwa tunapasuka halafu kuna fala anaserereka
 
Eti kama anakupa Nyapu na haombi kausha kwanini Umpe
 
Kwahio ni badili Akili Nimuoe?🤔🤔
 
Hapo kuna mawili either ni mtu anayependa kujitegemea na hapendi kudanga(kudanga kunashusha heshima ya mwanamke) kama ni hiyo oa tu
Ana sponsor ko wewe ni kwa ajili ya kumkuna ila mi nadhani so kwamba pisi kali zote ni mburura
 
Point ya Kwanza ni strong kama unaandika Essay ya kwenye Necta😂
 
Back
Top Bottom