Hivi Mwanamke kutopenda Kuomba Omba Hela kwa Mpenzi wake ina Maana gani?

Danganywa tu ila ni hivi wanawake tunaeza hata miliki mabuzinez makubwa yanayotuingizia pesa.....

ila hela tunayopewa na wapenzi wetu hata ka ni ndogo aisee tunafeel good sana....

By the way unasumbua mke wa mtu... ana mume wake huyo
Agiza kinywaji nakuja kulipa dear
 
Wanadam hatuna chema, tafta yule wa kukupiga bomu kila siku ili uridhike, wapo wengi tu
 
Mkuu Matola
 
Mungu kakupa opportunity
We ichezee uone moto wake.
 
[emoji2][emoji2] unamtisha mwamba
 
Danganywa tu ila ni hivi wanawake tunaeza hata miliki mabuzinez makubwa yanayotuingizia pesa.....

ila hela tunayopewa na wapenzi wetu hata ka ni ndogo aisee tunafeel good sana....

By the way unasumbua mke wa mtu... ana mume wake huyo
Hilo umesema wewe kua ana mme mi sijui na kila mara pale kwake nipo Natoka saa5 Baba Mji na nikikuta mtu nitapiga niue kama nagharamia vile
 
Danganywa tu ila ni hivi wanawake tunaeza hata miliki mabuzinez makubwa yanayotuingizia pesa.....

ila hela tunayopewa na wapenzi wetu hata ka ni ndogo aisee tunafeel good sana....

By the way unasumbua mke wa mtu... ana mume wake huyo
Nimesema kabisa kua nikimpa hela ananuna ana mind yan ashasema mpaka aniombe sasa haniombi mimi nijipendekeze tu huku utelezi napewa na kuogeshwa naogeshwa..Kwenda huko endelea kupenda ww wenzako wanamitaji yao
 
Sio kila mwanamke anapenda kukinga mkono. Usikute alishapitia mahusiano ya manyanyaso kisa pesa za mpenz kaona isiwe tabu atumie tu za kwake
 
Umenena hadi nimependa😍.

#Ukute unashabikia Manchester kama mimi😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…