Omnilabeltech
JF-Expert Member
- Jul 26, 2026
- 533
- 845
Umesema vyemaWe jamaa huna Akili, yaani unawaza hela za mwanamke?
Mwanamke hata kama awe anatengeneza 10Γ ya Mshahara wako, bado atakutegemea wewe
Kipa kashatokaMwanaume akishaanza kuwa na interest na hela ya mwanamke ni dalili mbaya sana ni ugonjwa
Hicho ndio kitakuwa kifo chako. Usikubali kuzidiwa chochote na mwanamke zaidi ya makalio, madeni na siku zake za hedhi.Tuseme mwanaume anadate na mwanamke anayempenda lakini hana uwezo mkubwa wa kifedha. Ghafla anatokea mwanamke mwingine mwenye pesa, biashara na uwezo wa kubadilisha maisha yake.
Je, huyo mwanaume atamkataa huyo mwenye pesa kwa sababu tayari ana mtu anayempenda, au ataanza kufikiria fursa aliyoipata?
Mara nyingi tunawasikia wanaume wakilalamika kwamba wanawake wanawaacha wakikutana na wanaume wenye pesa. Lakini je, mwanaume akipewa nafasi kama hiyo, huwa anafanya nini?
Swali langu: Je, wanaume wengi wanaweza kukataa utajiri unaokuja kupitia mwanamke mwingine na kubaki na mwanamke wanayempenda, au tunawalaumu wanawake kwa jambo ambalo hata wanaume wanaweza kulifanya?
Wanaume, semeni ukweli bila kujitetea!
Usichokijua mwanamke mwenye fedha hatoi fedha kwa ajili ya mapenzi anatoa chenji tu yani pesa za vocha na za nguo tu tena mbili au tatu na za mtoko mukiwa pamoja
Kuna maswali yanachekeshaπππ
We jamaa huna Akili, yaani unawaza hela za mwanamke?
Mwanamke hata kama awe anatengeneza 10Γ ya Mshahara wako, bado atakutegemea wewe
Mwanaume akishaanza kuwa na interest na hela ya mwanamke ni dalili mbaya sana ni ugonjwa
Kaka unajaza seva... Acha tujadili moja liishe alafu tutahamia kwenye mengine
Hicho ndio kitakuwa kifo chako. Usikubali kuzidiwa chochote na mwanamke zaidi ya madeni na siku zake za hedhi.
Mwanamke asikuzidi akili, mali, elimu wala fedha. Akikuzidi kwa chochote Kati ya hivyo muepuke kabisa, utakufa mapema sana
ππβοΈMwanaume akishaanza kuwa na interest na hela ya mwanamke ni dalili mbaya sana ni ugonjwa
Dah maswali mengine πππ