Omnilabeltech
JF-Expert Member
- Jul 26, 2026
- 533
- 845
- Thread starter
- #81
Pesa zikiisha akili itakuja
😂😂
Pesa zikiisha akili itakuja
Hata bure huchomoki
Binafsi nilimuacha mwanamke mwenye pesa, nikaoa asiye na pesa na kwa sasa tunaishi vizuri tuTuseme mwanaume anadate na mwanamke anayempenda lakini hana uwezo mkubwa wa kifedha. Ghafla anatokea mwanamke mwingine mwenye pesa, biashara na uwezo wa kubadilisha maisha yake.
Je, huyo mwanaume atamkataa huyo mwenye pesa kwa sababu tayari ana mtu anayempenda, au ataanza kufikiria fursa aliyoipata?
Mara nyingi tunawasikia wanaume wakilalamika kwamba wanawake wanawaacha wakikutana na wanaume wenye pesa. Lakini je, mwanaume akipewa nafasi kama hiyo, huwa anafanya nini?
Swali langu: Je, wanaume wengi wanaweza kukataa utajiri unaokuja kupitia mwanamke mwingine na kubaki na mwanamke wanayempenda, au tunawalaumu wanawake kwa jambo ambalo hata wanaume wanaweza kulifanya?
Wanaume, semeni ukweli bila kujitetea!
Unawaza hela ya mwanamke pumbavu wewe! Log out kwenye hiyo simu yako ya mkopo katafute pesa!
Sisi wanaume huwa ni warahisi sana kushawishika na ngono bora wanawake wanaweza kukaza.🤣
Binafsi nilimuacha mwanamke mwenye pesa, nikaoa asiye na pesa na kwa sasa tunaishi vizuri tu
Utaliwa ndogo we endelea kupenda vya bure! Shauri yako✋😂😂 asante nisaidie kulipa mkopo ndugu yangu wa simu maana riba za simu sio mchezo simu ya 200k unanunua laki saba
Santo sana