Hivi Mwanaume anaweza akachomoka mbele ya mwanamke wenye fedha kuliko mpenzi wake au tunalaumu wanawake tu

Kwamba mwanaume anavunja mahusiano kisa mwanamke wake kapoteza kazi au kafilisika?

Linapokuja swala la mahusiano ya kimapenzi au ndoa kwa mwanaume ni financial responsibility. Kosa pekee kwa mwanaume linalovunja mahusiano ni kugongewa.
 
Akipigiwa simu na mwanamke mwenyewe hela anaichomoa anakimbia.......

Tupende tu pesa na tuzitafute sana, pesa ni tamu.
 
Kwamba mwanaume anavunja mahusiano kisa mwanamke wake kapoteza kazi au kafilisika?

Linapokuja swala la mahusiano ya kimapenzi au ndoa kwa mwanaume ni financial responsibility. Kosa pekee kwa mwanaume linalovunja mahusiano ni kugongewa.
Nimekuambia yapo, unabisha nini
 
Back
Top Bottom