Mkono Mmoja
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 4,994
- 9,625
"Pesa hata iwe shetani kiasi gani,utakatifu hauwezi kuwa umasikini"
amini
Mwanadamu hana loyalty kwenye njaa
amini
Mwanadamu hana loyalty kwenye njaa
Ilikua ni challenge hiyo je mpaka sasa umepiga hatua? Dhana hapa sio kuwakataa dhana hapa ni kumzidi kipato na kutotegemea pesa yake,sasa kama kati ya hao waliokuja na pesa zao wana upendo wa dhati unawakata kisa huna pesa ya kuwazidi?no hapo umekimbia challenge yatupaswa tuwazidi vipato wanawake na sio kuwakata wakiwa na pesa nyingi ni dhana ya uoga,tunachopinga hapa ni kutegemea pesa yake na kutaka mserereko😁Ndiyo nimeshakataa mara kadhaa, nina bahati ya kupendwa na wanawake kama mara mbili hivi nimewakataa wanawake wenye hela (tena hela nyingi sana).
Huwa nahisi wana magonjwa fulani fulani labda anataka kuniambukiza
Niliwahi kupata chance pia ya kuoa mzungu bado nilikataa sababu niliamini atanizidi kiuchumi na nitashindwa kumdhibiti (akili za kitoto zamani nilikuwa ninawaza kumdhibiti mwanamke ni kitu kizuri).
Ila kuanzia sasa na kuendelea nikipata bahati za namna hiyo siwezi kuzichezea tena no matter what lakini siwezi kumuacha mke niliye tayari sababu tu nimepata mwenye hela
Kama huna hisia na huyo mwanaume anaekupa hela, huko si kujiuza 🤔 nakwede97Sie wenyewe tunajitega kwenu mtupe hizo hela
Nilikuwa na woga fulani wa kitoto nilikuja kugundua nilikuwa napishana na gari la mshahara.Ilikua ni challenge hiyo je mpaka sasa umepiga hatua? Dhana hapa sio kuwakataa dhana hapa ni kumzidi kipato na kutotegemea pesa yake,sasa kama kati ya hao waliokuja na pesa zao wana upendo wa dhati unawakata kisa huna pesa ya kuwazidi?no hapo umekimbia challenge yatupaswa tuwazidi vipato wanawake na sio kuwakata wakiwa na pesa nyingi ni dhana ya uoga,tunachopinga hapa ni kutegemea pesa yake na kutaka mserereko😁
Wanaume tupo Loyal😂BumbleBeeBot wape ushuhuda!🤸🏽♀️
😁😁😁Nilikuwa na woga fulani wa kitoto nilikuja kugundua nilikuwa napishana na gari la mshahara.
Lakini pia inahitaji utayari wa akili yako, kama akili yako haipo tayari ni rahisi kupishana na bahati zako
Kwa sasa nimekuwa mtu mzima nina utulivu fulani wa akili Naamini nikipata bahati tena za namna hiyo siwezi kuzichezea tena
Kuna tofauti ya mwanaume na vivulana.
Hiyo hutokea kwa vivulana vivivu ambavyo hulelewa na mijimama kwa kufungiwa ndani.
Ni wanaume wachache sana watavutiwa na mwanamke kwa kiwango cha kumuacha mwanamke anayempenda sababu ya pesa. Wengi wataibia ibia tu ila hatataka kurisk kwa kiwango cha mwanamke wake kujua unless ana homon za kulelewa ambazo ni za kike.
Ndiyo nimeshakataa mara kadhaa, nina bahati ya kupendwa na wanawake kama mara mbili hivi nimewakataa wanawake wenye hela (tena hela nyingi sana).
Huwa nahisi wana magonjwa fulani fulani labda anataka kuniambukiza
Niliwahi kupata chance pia ya kuoa mzungu bado nilikataa sababu niliamini atanizidi kiuchumi na nitashindwa kumdhibiti (akili za kitoto zamani nilikuwa ninawaza kumdhibiti mwanamke ni kitu kizuri).
Ila kuanzia sasa na kuendelea nikipata bahati za namna hiyo siwezi kuzichezea tena no matter what lakini siwezi kumuacha mke niliye tayari sababu tu nimepata mwenye hela
Unataka ulelewe? Sie wenyewe tunajitega kwenu mtupe hizo hela wewe unawazia hela zetu au ndo nyie mnalalamika njaa zinauma na hela hauna hahahha daah
Hatuna hela sie

Ndio maana nasema hakuna mwanaume humu ..ni kavulana tu kamarioo kanatafuta sababu ya kulelewa .
Kufikia kuuliza swali kama hili ina maana tayari una conclusion kichwani mwako.
Tutakachochangia sisi ni kukufanya usherehekee madhaifu yako.
Kijana yeyote 'aliyechezwa' jando, kamwe hawezi kuuliza swali la kinyonge kama hili.
Vijana dhaifu niseme hivyo, ama sijui ni mporomiko wa maadili ya kijamii ndiyo inapelekea vijana wa kiume kuwa na mawazo kama hayo.
Hapa sitaki kupoteza hata cha kukushauri, maana tayari ushapinda.
Mwanaume anafunga ndoa na mke wa malengo yake..... madam hii inaweza kua Term Mwanaume imetumika kimakosa