Hivi Mwanaume anaweza akachomoka mbele ya mwanamke wenye fedha kuliko mpenzi wake au tunalaumu wanawake tu

Ilikua ni challenge hiyo je mpaka sasa umepiga hatua? Dhana hapa sio kuwakataa dhana hapa ni kumzidi kipato na kutotegemea pesa yake,sasa kama kati ya hao waliokuja na pesa zao wana upendo wa dhati unawakata kisa huna pesa ya kuwazidi?no hapo umekimbia challenge yatupaswa tuwazidi vipato wanawake na sio kuwakata wakiwa na pesa nyingi ni dhana ya uoga,tunachopinga hapa ni kutegemea pesa yake na kutaka mserereko😁
 
Uzi wako unawasilisha maisha unayo yapitia,
Pole sana,pambana usikate tamaa na kubaki ukisubiri miujiza,

Mtu mwenye maisha yake hawezi kuwaza huu ujinga eti aje aokolewe na Mwanamke mwenye hela.
 
Nilikuwa na woga fulani wa kitoto nilikuja kugundua nilikuwa napishana na gari la mshahara.

Lakini pia inahitaji utayari wa akili yako, kama akili yako haipo tayari ni rahisi kupishana na bahati zako

Kwa sasa nimekuwa mtu mzima nina utulivu fulani wa akili Naamini nikipata bahati tena za namna hiyo siwezi kuzichezea tena
 
😁😁😁
 
Ni wanaume wachache sana watavutiwa na mwanamke kwa kiwango cha kumuacha mwanamke anayempenda sababu ya pesa. Wengi wataibia ibia tu ila hatataka kurisk kwa kiwango cha mwanamke wake kujua unless ana homon za kulelewa ambazo ni za kike.

Hapo umenena vyema
 
Reactions: Tsh

Wewe ni mwanaume halisi
 
Inawezekana sana mkuu, tena sana kabisa bila chembe ya shaka... Kwenye haya maandamano tunaongozwa kamanda Yusufu alikimbia mbele ya mke wa potifa mwenye uzuri na pesa zake
 
Man, upo serious? Mwanaume unafuata pesa kwa manzi?
 

Ni asili ya mwanaume
 
Sasa kama tunaweza kuacha kazi kwenye mishahara ya mamilioni ila kuna uthenge uthenge ndo ushindwe kumtema mwanamke kisa ana pesa
Au mtoa mada ni shoga?
 

Mm nimetoa mtazamo tu na kuuliza tu nione mitazamo ya wanaume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…