Hivi Mwanaume anaweza akachomoka mbele ya mwanamke wenye fedha kuliko mpenzi wake au tunalaumu wanawake tu

Binafsi nilimuacha mwanamke mwenye pesa, nikaoa asiye na pesa na kwa sasa tunaishi vizuri tu
 
Sisi wanaume huwa ni warahisi sana kushawishika na ngono bora wanawake wanaweza kukaza.🀣
 
Unawaza hela ya mwanamke pumbavu wewe! Log out kwenye hiyo simu yako ya mkopo katafute pesa!
 
Unawaza hela ya mwanamke pumbavu wewe! Log out kwenye hiyo simu yako ya mkopo katafute pesa!

πŸ˜‚πŸ˜‚ asante nisaidie kulipa mkopo ndugu yangu wa simu maana riba za simu sio mchezo simu ya 200k unanunua laki saba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…