Hivi mwanaume gentleman ndio mwanaume wa namna gani?

There is no good news like bad news![emoji16]
 

Cheers [emoji1635]
 
Reactions: Pep
😂😂 Manicure usisahau
 
Huwezi tu kumpatia tu mtu baki from no where 30 hiyo eti unajali. Hapo lazima na wewe unamlia Timing huyo manzi. Soon atakipata anachokitafuta
 
Gentleman..
-- huvaa vizuri akapendeza.
-- hana swaga za kibishoo..
-- ataweka pesa kwenye wallet na sio kwenye soksi..
-- hafuatulii vitu vidogo vidogo akiwa ktk mahusiano na mwanamke wake..
-- hujali sana family yake.
-- sio mlevi.
 
Soon utakuja kulalamika hapa, umesingiziwa mimba!
 

A gentleman is courteous, polite, and respectful. He says please and thank you, waits his turn in line, and treats others as they wish to be treated.
A Gentleman is Open Minded: A gentleman does not believe that his opinions and knowledge are complete and unquestionable.
 
Jento man ni mwanaume mwenye vinyweleo na kifua muundo wa nyonyooo, sisi wenye wivu tunasema hapa unajipigia debe kumamae
 
Gentlemen ni Wanaume wanaovaa chupi usiku badala ya boxer
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…