EllySkyWilly
JF-Expert Member
- Aug 28, 2020
- 2,204
- 2,085
Mie bange zangu zikinipanda, pamoja na private jet yake na bangalow lake nikamuacha awashirikishe na wanawake wengine kero zake.
Heri niwe pekeyangu kuliko wawili na kero gunia, akuuuu.
Mapenzi yakiisha tuu, nakuacha kama nnavyotoka hospitali baada ya kutibiwa.
Bibi Mahaba.
Mwenye hela tu, au chukulia mwanamme ni HB, ana pesa, ana skills kibao. Huyo unaweza kumwacha.Sijajua unazungumzia unazungumzia mwanaume mwenye hela kwa muktadha upi, au ambae KWA mwezi anapata faida ya kiasi gani ndio useme mwanaume huyu anapesa.
Ukimuacha, mara moja moja utakua unaenda kama mchepuko ili kupata pocket moneyMie bange zangu zikinipanda, pamoja na private jet yake na bangalow lake nikamuacha awashirikishe na wanawake wengine kero zake.
Heri niwe pekeyangu kuliko wawili na kero gunia, akuuuu.
Mapenzi yakiisha tuu, nakuacha kama nnavyotoka hospitali baada ya kutibiwa.
Bibi Mahaba.
Mkuu mimi ni mwanaume.Mwenye hela tu, au chukulia mwanamme ni HB, ana pesa, ana skills kibao. Huyo unaweza kumwacha.
Binafsi Mahaba, Mapenzi, Furaha na Amani ni kila kitu kwangu.Hahaha sema kweli mkuu, yaani unazikimbia pesa.
Anaachwa vizuri tena bila hata taatifa, na simu anazimiwaHabari za leo wakuu,
Nimekua nikijiuliza maswali haya leo nkiwa nimetulia nikaona ngoja niwashirikishe na ninyi.
Hivi wakuu mwanaume mwenye hela anaweza akaachwa?
Ni mazingira gani yanaweza kusababisha mwanaume mwenye hela kuachwa.
Na wadada nao sasa huwa mnajiskiaje mnapojaribu kumwacha mwanaume mwenye hela?
Wakuu karibuni sana.
ukimuacha, mara moja moja utakua unaenda kama mchepuko ili kupata pocket money
Wanaume tumeumbwa...Wanawake hawana jema