Hivi mwanaume mwenye hela anaweza kuachwa?

Hivi mwanaume mwenye hela anaweza kuachwa?

Mie bange zangu zikinipanda, pamoja na private jet yake na bangalow lake nikamuacha awashirikishe na wanawake wengine kero zake.

Heri niwe pekeyangu kuliko wawili na kero gunia, akuuuu.

Mapenzi yakiisha tuu, nakuacha kama nnavyotoka hospitali baada ya kutibiwa.
Bibi Mahaba.
Nauliza tuu sio kwa ubaya...have u ever dated a man with a private jet?
 
Binafsi Mahaba, Mapenzi, Furaha na Amani ni kila kitu kwangu.

Hata mtu awe na Ikulu, akinikera nikafika top yaani nikamchoka namuacha na ufahari wake, naenda kaanga mihogo yangu na dagaa nakula nalala kwenye uchago kwa amani bila kero.

Napenda pesa ila hazijawahi nifanya nikawa mtumwa.
Wewe unaonekana hata Yesu unamjua.
 
Binafsi Mahaba, Mapenzi, Furaha na Amani ni kila kitu kwangu.

Hata mtu awe na Ikulu, akinikera nikafika top yaani nikamchoka namuacha na ufahari wake, naenda kaanga mihogo yangu na dagaa nakula nalala kwenye uchago kwa amani bila kero.

Napenda pesa ila hazijawahi nifanya nikawa mtumwa.
Wewe toleo la zamani aka number A,ila hili toleo jipya number D wengi wao wanaendekeza hela.
 
Anaachwa vizuri sana lakini na mtu anaejielewa au kwenye msimamo
 
Back
Top Bottom