Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Marhabaaa, hujamboo.!??
Sijambo kabisa sijui wewe Bibi Matata
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Marhabaaa, hujamboo.!??
PESA SIO KILA KITUHabari za leo wakuu,
Nimekua nikijiuliza maswali haya leo nkiwa nimetulia nikaona ngoja niwashirikishe na ninyi.
Hivi wakuu mwanaume mwenye hela anaweza akaachwa?
Ni mazingira gani yanaweza kusababisha mwanaume mwenye hela kuachwa.
Na wadada nao sasa huwa mnajiskiaje mnapojaribu kumwacha mwanaume mwenye hela?
Wakuu karibuni sana.
wanamfuata mondi wote ni magold digger ... na wote hawana furaha ktk mioyo yaoWe ulisikia wapi eti mwanaume mwenye hela anaachwa? "we ulisikia wapi, we ulisikia wapi, mheshimiwa we ulisikia wapi"
NB; Mwanaume mwenye hela haachwi ila huwa anaacha, mfano mzuri muangalie Mondi jinsi anavyo wapanga foleni kila siku. Ushauri wangu kwako mkuu hakikisha unatafuta hela kwa nguvu zako zote, ila kwa njia halali lakini..
Hawana furaha kwa sababu muda wowote wanahisi watapigwa chini kwa sababu wengi wanamgombani.wanamfuata mondi wote ni magold digger ... na wote hawana furaha ktk mioyo yao
Hamnaga kitu kama hiyo, na hakuna mwanamke mwenye nguvu ya kumuacha mwanaume mwenye pesa kwa kigezo kama hicho..Wapo sana kaka uchafu ni hulka ya mtu hata kama anazo bado atashindwa namna ya kutumia pesa zake kujiweka katika haiba na muonekano mzur
Hahahah! noma sana, ila my sister 50000 kusuka hapo hata mimi ningeonekana bahiri kwa kweli..Me nilikutana na mwanaume ananipa hela kila nikikutana nae yaaan ata km tumeonana asubui tukionana jion tena ananipa hela tena nyingi tu ,nilimuacha yule bwana loooooh nilihic anataka kuniua apo nimetoka kwenye relationship na kijana bahili wa Kipare ata 50,000 ya kusuka anakuambia subiri kwanza nikasema huyu ananipa bila kuomba huyu mbwa anataka kunila nyama huyu nikamuacha !!!block kila mahali !!!
Hahahah! noma sana, ila my sister 50000 kusuka hapo hata mimi ningeonekana bahiri kwa kweli..
Kuna siku niliombwa 20,000 hela ya kusuka na mimi nikamwambia anipe matokeo yako ya form.4, form.6 na GPA yako ya chuo. Nikaishia kumpa buku 5, nauli humohumo na hayo masuala yake ya kusuka..Kwahyo kusuka sh ngapi?hyo ata haitishi naongezea na zangu
Kuna siku niliombwa 20,000 hela ya kusuka na mimi nikamwambia anipe matokeo yako ya form.4, form.6 na GPA yako ya chuo. Nikaishia kumpa buku 5, nauli humohumo na hayo masuala yake ya kusuka..
Unafanya "matching" ya value ya hicho kichwa na thamani ya pesa husika...Kusuka kunahusiana nn na GPA ?
Welcome mkuu..Nasoma comments...
Kwel?Hapana, nikiondoka huwa sirudi.
...Wapo wengi tu. Hujawahi kuona MTU ana pesa ya kumwaga lakini hajui hats kujipulizia Uturi na Sikh zote in harufu tu ya jasho??Wapo darmian pesa haibadili hulka au tabia ya mtu
Sijambo kabisa sijui wewe Bibi Matata