Hivi mwanaume mwenye hela anaweza kuachwa?

Hivi mwanaume mwenye hela anaweza kuachwa?

Anaachwa vizuri halafu anafatwa mshamba ambae yeye hata hela hana lakini kuna kitu anacho ambacho mwenyewe hela hana.
 
Habari za leo wakuu,

Nimekua nikijiuliza maswali haya leo nkiwa nimetulia nikaona ngoja niwashirikishe na ninyi.

Hivi wakuu mwanaume mwenye hela anaweza akaachwa?

Ni mazingira gani yanaweza kusababisha mwanaume mwenye hela kuachwa.

Na wadada nao sasa huwa mnajiskiaje mnapojaribu kumwacha mwanaume mwenye hela?

Wakuu karibuni sana.
We ulisikia wapi eti mwanaume mwenye hela anaachwa? "we ulisikia wapi, we ulisikia wapi, mheshimiwa we ulisikia wapi"

NB; Mwanaume mwenye hela haachwi ila huwa anaacha, mfano mzuri muangalie Mondi jinsi anavyo wapanga foleni kila siku. Ushauri wangu kwako mkuu hakikisha unatafuta hela kwa nguvu zako zote, ila kwa njia halali lakini..
 
Ndio hivyo navyofanya mkuu, hivi mwakani mwezi wa sita lazima nitoke na vipande vya ALMASI. Lazima almasi ni zetu tunaishia kuzisoma tu kama huu sio ujinga ni nini. Nataka ninyoke na dhahabu na Almasi tu. Ninyi endeleeni kutafuta ajira
 
Mchafu hujipend unanuka nuka viarufu vya ajabu ajabu unabadilishwa hubadiliki eti kisa unapesa kwanin usiachwe hatuangalii pesa mwishowe unapata ugonjwa wa mapafu kwa kuvuta viharufu vya ajabu ajabu kisa pesa
 
Sasa "my sister" toka lini mwanume mwenye hela anakua mchafu...?
 
Ndio hivyo navyofanya mkuu, hivi mwakani mwezi wa sita lazima nitoke na vipande vya ALMASI. Lazima almasi ni zetu tunaishia kuzisoma tu kama huu sio ujinga ni nini. Nataka ninyoke na dhahabu na Almasi tu. Ninyi
Pambana sana mkuu..
 
Mchafu hujipend unanuka nuka viarufu vya ajabu ajabu unabadilishwa hubadiliki eti kisa unapesa kwanin usiachwe hatuangalii pesa mwishowe unapata ugonjwa wa mapafu kwa kuvuta viharufu vya ajabu ajabu kisa pesa
Viharufu kama vipi mkuu, funguka basi
 
Hao ni matajiri wa ndumba,mwanaume gani mwenye hela then awe mchafu?.
Mchafu hujipend unanuka nuka viarufu vya ajabu ajabu unabadilishwa hubadiliki eti kisa unapesa kwanin usiachwe hatuangalii pesa mwishowe unapata ugonjwa wa mapafu kwa kuvuta viharufu vya ajabu ajabu kisa pesa
 
Habari za leo wakuu,

Nimekua nikijiuliza maswali haya leo nkiwa nimetulia nikaona ngoja niwashirikishe na ninyi.

Hivi wakuu mwanaume mwenye hela anaweza akaachwa?

Ni mazingira gani yanaweza kusababisha mwanaume mwenye hela kuachwa.

Na wadada nao sasa huwa mnajiskiaje mnapojaribu kumwacha mwanaume mwenye hela?

Wakuu karibuni sana.

Anaweza kuwa mwanaume mwenye hela lakini asikupe, labda useme mwanaume anayetoa hela ...
by the way ni kama mtihani kumuacha, kufaulu ni lazima uwe tayar unajitambua ujue unataka nini zaidi
 
Mchafu hujipend unanuka nuka viarufu vya ajabu ajabu unabadilishwa hubadiliki eti kisa unapesa kwanin usiachwe hatuangalii pesa mwishowe unapata ugonjwa wa mapafu kwa kuvuta viharufu vya ajabu ajabu kisa pesa
Dada asante kwa kututambulisha shemeji mwenye viarufu
 
Unaachwa asubuhi asubuhi na mapema, labda kama uliye naye kafuata pesa lakini aliyefuata penzi mbona alfajiri tuu!
 
Ndio anaweza kuachwa. Kwanza kabisa, pesa zinaweza kununua KARIBU kila kitu, lakini sio vyote. Mara nyingi tunafikiria kuwa pesa hufanya kila kitu kuwa rahisi maishani na hutufungulia milango yote na kutupa kila tutakacho. Walakini, sio milango yote inayofunguliwa hutupa mambo tunayostahili ama pengine unaweza pata ambayo hayatudumu na wewe kwasababu kadhaa wa kadhaa ikiwamo na wewe mwenyewe kushindwa kuyamudu. Nikisema kuyamudu namaanisha kwamba sio kila kitu upatacho ukiwa na pesa basi pesa yako ndo ifanye hicho kitu ama mtu adumu na wewe kisa pesa zako la hasha inabidi muda mwingine juhudi zako binafsi huhitajika ili hicho kitu ama mtu adumu na wewe. Unfortunately wenye pesa hujisahau na kuamini pesa yake itafanya kila kitu..ukiwamo ku hold mahusiano yake either ya kimapenzi or yoyote yale.

Ni ukweli usio pingika kwamba pesa inaweza kukupa mtu mtakae kwenye mahusiano yako, lakini kuna mambo fulani muhimu kwenye mahusiano, ambayo pesa haiwezi kununua. Na mambo hayo ni hunganishwa na moyo ama hisia za binadamu…kwa mfano ukiwa na pesa na unapokua kwenye mahusiano lakin mwenzi wako usipo mpa hitaji la moyo wake lisilo hitaji pesa ama attention ama anahitaji caring isiyohisisha pesa ama chochote kisicho hitaji pesa basi na ikawa havijapatikana / havijafikiwa, hufanya moyo ujisikie umefadhaika sana na wengine huwa disappointed kiasi moyo wake ama hisia zake huumia basi hufika wakati kwamba hakuna pesa inaweza kuuponya! na mtu huyu anaondoka kwenye maisha yako na kukuacha na pesa zako.

Kwa hivyo ni kweli mwanaume mwenye hela anaweza kuachwa, Kwa sababu huyo atakae muacha alikuwa anatafuta kitu cha thamani zaidi kuliko pesa! na alikikosa Kwa huyo mwenye pesa
 
Habari za leo wakuu,

Nimekua nikijiuliza maswali haya leo nkiwa nimetulia nikaona ngoja niwashirikishe na ninyi.

Hivi wakuu mwanaume mwenye hela anaweza akaachwa?

Ni mazingira gani yanaweza kusababisha mwanaume mwenye hela kuachwa.

Na wadada nao sasa huwa mnajiskiaje mnapojaribu kumwacha mwanaume mwenye hela?

Wakuu karibuni sana.
Nilichogundua kwa hawa viumbe kuna levels kunq demu ukimpa elfu 20 kwake ni nyingine na anashukuru sana kuna mwingine laki ni ndogo. Conclusion stay in your lane hatakukimbia na hapo ndio tafsiri ya mwenyewe hela inakuwa kwa muhusika kwa mfano huo mmoja ata muona muhusika hana hela mwingine ataona anahela kwake.

Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom