Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Binafsi Mahaba, Mapenzi, Furaha na Amani ni kila kitu kwangu.
Hata mtu awe na Ikulu, akinikera nikafika top yaani nikamchoka namuacha na ufahari wake, naenda kaanga mihogo yangu na dagaa nakula nalala kwenye uchago kwa amani bila kero.
Napenda pesa ila hazijawahi nifanya nikawa mtumwa.
Ata wewe huwezi kumwacha boss wako wala huwezi kumnunia boss ndivyo hivyo kwa wanawake.Habari za leo wakuu,
Nimekua nikijiuliza maswali haya leo nikiwa nimetulia nikaona ngoja niwashirikishe na ninyi.
Hivi wakuu mwanaume mwenye hela anaweza akaachwa?
Ni mazingira gani yanaweza kusababisha mwanaume mwenye hela kuachwa.
Na wadada nao sasa huwa mnajiskiaje mnapojaribu kumwacha mwanaume mwenye hela?
Wakuu karibuni sana.
[emoji23][emoji23][emoji23]Bill gate hujamsikia?