Hivi mwanaume mwenye hela anaweza kuachwa?

Hivi mwanaume mwenye hela anaweza kuachwa?

Wanawake hawajui wanachotaka hata uwe na dunia utaachwa tu akiamua😀😀
 
Wanawake hawaeleweki, unaweza shindwa kubaini wanataka nini?.
 
Mchafu hujipend unanuka nuka viarufu vya ajabu ajabu unabadilishwa hubadiliki eti kisa unapesa kwanin usiachwe hatuangalii pesa mwishowe unapata ugonjwa wa mapafu kwa kuvuta viharufu vya ajabu ajabu kisa pesa
Kwa hyo asipokuwa na harufu msafi mtanashati ila ana cheat Sana pesa zpo ndo haachwi ?
 
Mie bange zangu zikinipanda, pamoja na private jet yake na bangalow lake nikamuacha awashirikishe na wanawake wengine kero zake.

Heri niwe pekeyangu kuliko wawili na kero gunia, akuuuu.

Mapenzi yakiisha tuu, nakuacha kama nnavyotoka hospitali baada ya kutibiwa.
Bibi Mahaba.
Ameeeeeeen
 
Binafsi Mahaba, Mapenzi, Furaha na Amani ni kila kitu kwangu.

Hata mtu awe na Ikulu, akinikera nikafika top yaani nikamchoka namuacha na ufahari wake, naenda kaanga mihogo yangu na dagaa nakula nalala kwenye uchago kwa amani bila kero.

Napenda pesa ila hazijawahi nifanya nikawa mtumwa.
Ameeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeen. [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Mapenzi ni zaidi ya pesa, ila ikikosekana yanapungua.
 
Me nilikutana na mwanaume ananipa hela kila nikikutana nae yaaan ata km tumeonana asubui tukionana jion tena ananipa hela tena nyingi tu ,nilimuacha yule bwana loooooh nilihic anataka kuniua apo nimetoka kwenye relationship na kijana bahili wa Kipare ata 50,000 ya kusuka anakuambia subiri kwanza nikasema huyu ananipa bila kuomba huyu mbwa anataka kunila nyama huyu nikamuacha !!!block kila mahali !!!
Sasa unamuacha kisa nakupa helaa???? Wanawake kwa kweli ni viumbe ambavyo havieleweki yani...

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
 
Kimsingi HAKUNA mwanamke anaeweza kumuacha Mwanaume anaempa HELAA maana unaweza kuwa na hela alafu bahili hapa tupige story za kujifurahishaa tu...!! Yule mwanamke aliemuacha Jeff Benzos sijui alishapiga hesabu mpunga atakaoupataa wakiachanaa.. Kama mwanamke anaweza vunja ndoa ili apate pesaa leo anamuachaje mwanaume anaempa hela.

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
 
Sasa una hela unakubali vipi kuwa na mwanamke mmoja?
Nalog off
 
Back
Top Bottom