Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,379
- 41,294
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora umemdadavuliaHuwajui wanawake wewe..
Ukimtoka moyoni hata kukuua anakuua nini hela...
Swala la kuachwa it depends unaishije kwenye hayo mahusiano na sio swala la kipato , unaweza ukawa na pesa lakini ukawa kichomi unatabia za hovyo , me nilishadate na mtu mwenye pesa sana na hakuna nilichokua nakosa ila nilikuja kumuacha mwenyewe because of tabia zake alikua hana mda na mimi mda wote yupo busy na kazi, hajui umuhimu wa mawasiliano always mpaka ww ndo umtafute then kauli zake zilikua chafu kama za haji manara kitu kidogo tu mkigombana unatukaniwa ukoo wenu mzm kuwa ni maskini mara anaanza kujitamba kuwa yeye ana pesa he can have any woman he wants....yani too much pride[emoji30] then nikasema ooh kumbe wewe nyau unijui eeh nilimpiga chini mpaka leo hakuaminiHabari za leo wakuu,
Nimekua nikijiuliza maswali haya leo nikiwa nimetulia nikaona ngoja niwashirikishe na ninyi.
Hivi wakuu mwanaume mwenye hela anaweza akaachwa?
Ni mazingira gani yanaweza kusababisha mwanaume mwenye hela kuachwa.
Na wadada nao sasa huwa mnajiskiaje mnapojaribu kumwacha mwanaume mwenye hela?
Wakuu karibuni sana.
Wewe ni msafi??Hao ni matajiri wa ndumba,mwanaume gani mwenye hela then awe mchafu?.
Na wapo wengi tu, tena kumwacha wala usipige kelele ni kimya kimya tuSwala la kuachwa it depends unaishije kwenye hayo mahusiano na sio swala la kipato , unaweza ukawa na pesa lakini ukawa kichomi unatabia za hovyo , me nilishadate na mtu mwenye pesa sana na hakuna nilichokua nakosa ila nilikuja kumuacha mwenyewe because of tabia zake alikua hana mda na mimi mda wote yupo busy na kazi, hajui umuhimu wa mawasiliano always mpaka ww ndo umtafute then kauli zake zilikua chafu kama za haji manara kitu kidogo tu mkigombana unatukaniwa ukoo wenu mzm kuwa ni maskini mara anaanza kujitamba kuwa yeye ana pesa he can have any woman he wants....yani too much pride[emoji30] then nikasema ooh kumbe wewe nyau unijui eeh nilimpiga chini mpaka leo hakuamini
KarmaSwala la kuachwa it depends unaishije kwenye hayo mahusiano na sio swala la kipato , unaweza ukawa na pesa lakini ukawa kichomi unatabia za hovyo , me nilishadate na mtu mwenye pesa sana na hakuna nilichokua nakosa ila nilikuja kumuacha mwenyewe because of tabia zake alikua hana mda na mimi mda wote yupo busy na kazi, hajui umuhimu wa mawasiliano always mpaka ww ndo umtafute then kauli zake zilikua chafu kama za haji manara kitu kidogo tu mkigombana unatukaniwa ukoo wenu mzm kuwa ni maskini mara anaanza kujitamba kuwa yeye ana pesa he can have any woman he wants....yani too much pride[emoji30] then nikasema ooh kumbe wewe nyau unijui eeh nilimpiga chini mpaka leo hakuamini
Sure [emoji419][emoji3]Kuachwa ipo hata umiliki dunia chamsingi kula usepe.
[emoji3][emoji3] feminist Wana kutafutaWanawake hawana jema
Hii kwa wanawake wa kibongo ngumu Sana kwa sababu wao ni tegemeziMwenye hela tu, au chukulia mwanamme ni HB, ana pesa, ana skills kibao. Huyo unaweza kumwacha.
[emoji419][emoji3][emoji3]Utaachwa ila kwa tabu mno sio kama hawa kina "sina shilingi"
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Haachwi ila atatombewer
Sio hawana jema sema hivi pesa hunogesha mapenzi, na sikigezo cha kutoachwa! Kuachwa kupo pale pale.Wanawake hawana jema
[emoji3]Dah basi una bahati sana na utakuwa na tako zuri
[emoji3] Mambo yako ya kupata jam mtalimbo umeacha !?Acha tu yani kwenye hela sipo sina shilingi mi ndio katibu mwenezi, ilimradi napumua nashukuru.
Mi na mtalimbo ni kama samaki na maji....haina kuacha yani.[emoji3] Mambo yako ya kupata jam mtalimbo umeacha !?
[emoji3]kila dada wa JF atakuja na stori feki kwamba aliwahi kum-dump mwanaume mwenye pesa
I Know I know .. Unaachaje utamu kwa mfano [emoji16][emoji16][emoji16][emoji1732]Mi na mtalimbo ni kama samaki na maji....haina kuacha yani.