Hivi mwanaume mwenye hela anaweza kuachwa?

Hatakuacha kwa sababu ya hela zako lakini lazima akusaliti. unampa hela lakini muhogo haupati vzuri lazima akusaliti tena anaenda kumpa hela huyo njemba atakayemfikisha kileleni
 
Mapenzi hayamuachagi mtu yeyote salama.

Lkn akiwa na mambo ya ------- pia anaachwa.

Especially kama huyumbishwi kiboya unamtema tu vida/zarau apeleke huko.
 

 
Hela ndo nini wewe, sema hivi mwanaume mwny show kali anaweza kuachwa? Halaf nitag
 
Ata wewe huwezi kumwacha boss wako wala huwezi kumnunia boss ndivyo hivyo kwa wanawake.
 
Utoshelevu wa maisha hautegemei pesa pekee!

Kuna watu wanafedha na mali lakini hawana raha za nafsi wala burudiko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…