Restless Hustler
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 5,150
- 20,025
Unadhani kuwafahamu waandishi wa habari ndiyo ukubwa? Wengine tumekulia na kusomea Bush. Ninachojua Ufoo Saro alikuwa muandishi wa habari wa ITV lakini maswala yake personal siyajuiDogo tuamkie wazee
Na dada yake kama vile,, au km nasahau basi kuna tukio aina hiyo yalifatana vilevileUkisoma humu unajua kuna machalii wengi sana JF. Ufoo alimdhulumu bwana Mushi na baada ya kumjibu majibu ya dharau mdau akatoa bomba kumshambulia mtu na mama yake.
Mwanamke alikuwa sawa kabisa, mwanaume ndio alikuwa fala pro-max, unawekezaje kwa mwanamke ambaye hujamuoa?!
Moja kati ya soldier mpuuzi alikuwa yule, nilimpa kongole Ufoo Saro always mwanamke akikutana na mwanaume fala lazima amuache kwenye mataa.
Nani alimuua mumewe??Manzi wa kaskazin ndio nawaogopeaga hapa tuu!! Alimuua yule mumewe yule hiyo iko wazi
Imani potofu na fake kabisaKuoa Wachagga au wapare ni kujitakia kifo tu mapemaaaaa tena huku unajiona una dedishwa.
Aliua na akati yeye ndo alikoswa koswa kuuawa baada ya kupigwa shaba tumboni na mama ake alikufa na muuaji akajiua...ufooo kama nakumbuka alipona akareport report muda mchache ITV afu akapotea hadi leo
Na dada yake kama vile,, au km nasahau basi kuna tukio aina hiyo yalifatana vilevile
Sasa akikutumia majambazi akakuua hela atazifaidi vipi wakati kashazeeka? Wrong timing! Asikudanganye mtu, hela inanoga ujanani.Kuna jamaa wanajisifia kuoa wachaga kuwa wao Ni wajanja , waambie waishi na ndugu zao Kama mmoja wawili ama watatu ndio watajua Kilimanjaro sio pa kuoa.
Kuna yule wa dumila alimkodia mwanaume majambazi wakammalize ,mbaba mmoja ivi mkikuyu, matukio Ni mengi ngoja uzeeke na uchukue pension ama iwe inakaribia kutoka ndipo utajua Kama hujui.
Ndio ndio nakumbuka na dada yake nae alidedishwa akapona peke yake na mtoto nadhaniKuna ndugu yake naye alidedishwa kwenye huo msala. Yeye pekee ndio alipona. Sidhani Kama atarudia utapeli Tena.
Ndio ndio nakumbuka na dada yake nae alidedishwa akapona peke yake na mtoto nadhani
Sawa ila kama unataka kuokoka usije oa hizi kabila, utanishukuru baadaye. Muulize baba yako.Imani potofu na fake kabisa
Basi matukio yalifatana, na ni mfananoDada yake au mama yake ndio aliuliwa
Mwanamke ni kiumbe kinachobadilika anytime tena soldiers husisitiziwa kuhusu kutokumuamini mtu kirahisi.Usiseme hivyo, huwezi jua makubaliano yao yalikuwaje. Halafu kwanini umtapeli mtu anayekupa pesa.
sidhani kama kuoa inazuia jambo kama hiliMwanamke ni kiumbe kinachobadilika anytime tena soldiers husisitiziwa kuhusu kutokumuamini mtu kirahisi.
Mwanamke hujamuoa unampa majukumu ya kimke alishindwa kufikiria nje ya boksi?!, siku zote katika maisha mwanaume lazima uwe hatua mbili mbele kifikra, kimaono na kimaamuzi mbele ya mwanamke, unamtumia millions of shillings za ujenzi mwanamke hujaoa are you serious?
Umempa hela za ujenzi fine why you didn't set backup awe anachunguza kama ujenzi unafanyika au laah!pasipo mwanamke kujua una ndugu, marafiki na jamaa alishindwa kuwapigia fulani hela hiyo nenda sehemu fulani kuna site yangu kaangalie uone kuna lolote linaendelea maana mafundi wanazingua huku akiwa hafahamu kama unamtumia mpenzi wake kuendeleza ujenzi, alishindwa kutumia mbinu za kimedani kupata taarifa za ziada, ndio maana alijiua alijiona mpuuzi kazidiwa akili.
Soldier alikuwa mwanaume ila hakuwa na maono ya kiume possibly mapenzi yalimkolea ukubwani.