Morning_star
JF-Expert Member
- Apr 21, 2018
- 6,042
- 17,320
Eneo lolote likianza kuwa na maendeleo masikini hatakiwi kuonekana! Sheria hutungwa na vigezo huwekwa kumlazimisha masikini akimbie!
Mfano jinsi miji inavyokuwa kuna nyumba zinawekewa sheria ya kwamba ukitaka kuikarabati lazima uombe kibali na watakuambia mtaa huu kama unatakakujenga, jenga jengo kuanzia ghorofa 3, kama huwezi basi huza eneo nenda sehemu utakayoimudu!
Ukishupaza shingo itawekwa kodi ya majengo (mfano maeneo ya Dar: Posta & kariakoo) kodi ya jengo kwa mwaka si chini ya millions.
Kama umeshupaza shingo, umezuiliwa ukarabati na huna uwezo wa kujenga ghorofa, hivyo huwezi kupangisha na huwezi kupata hela ya kodi ya jengo, hapo utalazimika kuuza na kulala mbele maeneo ya masikini!
Hii hali ikiendelea hivyo kwa miaka kadhaa masikini huishia mitaani (homeless). UMASIKINI NI LAANA! Na kama wewe ni masikini anzia mahali laana ilipopitia na kukupata vinginevyo hutoboi hata ufanyeje!