Hivi na nyie wake zenu wanawapa unyumba kwa kunung'unika kama huyu wangu?

Mwanzoni alikuwaje?!

Kama hakua hivyo basi kuna tatizo chunguza vizuri, ila kama alikuwa hivyo toka mwanzo, huyo aliolewa na wewe kuilidhisha jamii tu ila hakupendi. Hana hisia na wewe.
 
Bado hamjawajua wanawake!na hamtokaa muelewe akili za mwanamke....Huyo ukute anapenda kubembelezwa hana la zaidi...Mimi kuna muda naweza fanya kama sitaki kumbe nataka sana, basi unamtia mtu morale anaongeza manjonjo ya kukubusubusu nyie wababa vipi?jiongezeni bhana
 
Kama unahudumia vizuri and still anafanya hivyo, maana yake ana emotional detachment yaani kiufupi ashapunguza hisia na wewe mzee.

Sikiliza bro, suluhisho sio kulalamika wala kumbembeleza kila siku kama mtoto mdogo. Badilisha gia angani, na wewe jifanye humtaki uone kama hajashtuka. Mwanaume ukiwa na njaa sana chumbani, mwanamke anakugeuza remote ya TV anakubofya anavyotaka. Potezea usumbufu wake, focus na maisha yako, mkaushie uone kama hataanza yeye kujisogeza.
 
kuna watu (naamini hivyo) wana very low libido
afu kuna kina sisi sasa show show

ongea nae pia labda kuna jambo linamsumbua
 
kuna watu (naamini hivyo) wana very low libido
afu kuna kina sisi sasa show show

ongea nae pia labda kuna jambo linamsumbua
 
Mkionyeshwa mnapendwa mnakua na viburi muda mwingine. Ukipewa thamani basi balance, tendo la ndoa ni chakula kwa mume, si kitu cha kupambania kiasi icho. Kwa wiki angalau mara tatu kama hamna changamoto
 
Hili tatizo halipo kwako tu wanaume wengi wanapata unyumba kwa tabu sana kwa wake zao hasa hawa wanawake waliosoma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…