Exactly, and we expect that by default!Yeah unachokisema ni kweli, hakuna kbaya juu ya hilo mkuu, lkn kwa kuwa mama ni mlezi wa familia anategemewa ajue nn preferable foods kwa 'wanae' then from there it's all about her kuamua kipi kipikwe siku husika, hiyo huenda ikapunguza kero wanazozieleza kina baba hapa.
Mimi ningejibu"Bebi Leo tunakula nini?"
Hivi chakula nimenunua, Maharage, mchele, unga, viazi, nyama, samaki vyote viko kwenye kitchen Den na kwenye friji kuna kila kitu.
Sasa kwanini uniulize tunakula nini? Wewe huwezi kujiongeza kweli kufanya assortment ya chakula cha kupika.
Hawa watu ni ukoo mmoja sema baba tofauti tu 😂😂😂!Mkuu kumbe tuko wengi .
Hill swali huwa naulizwa kila jioni,na mimi jibu langu huwa nyie pikeni mnachotaka mi ntakula matunda tu.
Lakini bado ataomba umshauri.
Dah pole sana mkuu kumbe my wife wako nae ni kama huyu hapa.
Mara moja kwa mwezi haichoshi, ila j3,j4,j5, alhamisi, ijumaa, j1, j2 aah hapana bana...Idara ya mapishi meneja ni yeye! Tusichoshane...Sidhani kama linachosha
Yaani kusema tu kwamba Leo unatamani kula ugali au wali inakukera?
Na siku usipokuwepo hana MTU Wa kumuliza apike nini,hebu fuatilia wapigie simu watoto kuwatakia usiku mwema,na kama uko mbali labda kikazi,kisha waulize mmekula nini usiku huu jibu litakuwa moja wali maharage.Hawa watu ni ukoo mmoja sema baba tofauti tu 😂😂😂!
Swali linanivurugaga mood kweli hilo.
Watoto watapigwa wali ndondo kama jela 😂 hadi utaporudiNa siku usipokuwepo hana MTU Wa kumuliza apike nini,hebu fuatilia wapigie simu watoto kuwatakia usiku mwema,na kama uko mbali labda kikazi,kisha waulize mmekula nini usiku huu jibu litakuwa moja wali maharage.
Hata ukae mwezi nzima huko menu itakuwa hiyohiyo hasa dinner ,ndo msosi wamama wameukariri.
I guess..Huyu bado hana watoto ndiyo maana mkewe anamuuliza yeyeNa Vip wapendacho watoto?
Hatakubali hata hivyo, utaskia nani aanze kumenya vitunguu swaumu sahizi 😂😂😂!!! Sasa unajiuliza si angechemsha supu ya mawe tu.Dah nalichukia sana Hilo swali, me akiniuliza namtajia chakula ambacho ni ngumu kuweza kukiandaa Muda Huo
Yaani wewe unashindwa tu kumuelewa huyo dada.Mara moja kwa mwezi haichoshi, ila j3,j4,j5, alhamisi, ijumaa, j1, j2 aah hapana bana...Idara ya mapishi meneja ni yeye! Tusichoshane...
Ana utani na serikali ya mjengoni huyo! Yani saa 2 ndio anauliza kama unakula. Mzee jiandae kulishwa chai na mkate kama wafuasi wa Yesu 😂😂😂Pole sana hao viumbe tuwe tuna wasamehe mambo mengine duh ndo walivyo.
Hapa wakwangu ndo ananiuliza eti Mume unakula sasa hivi? wakati anajua tukimaliza taarifa ya habari ya Azam ndo tunakula...ni meshindwa hata kumjibu loh
Kula na wanao tu maana huku nje mishkaki choma na bia ilivyo mitamu. Haielezeki!!!Ndiyo bado kapo jamani. Ila majority kwa vile mnapenda kukaa bar na kuning'iniza miguu juu kama paka: inabidi tu tule wenyewe na watoto maana hamkawii kurudi siku ya pili (after saa 6 usiku)
Pia kautafiti nilikafanya,wamama Wa nyumbani huwa wanajilipa na ile Kodi ya meza unayoacha asubuhi,kwa hyo anaibana ili apige cha juu.Watoto watapigwa wali ndondo kama jela 😂 hadi utaporudi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]Kula na wanao tu maana huku nje mishkaki choma na bia ilivyo mitamu. Haielezeki!!!
Najua lazima badoWatoto bado