Hamna kukomoana wala mwanamke gani ambaye hajui majukumu yake! Fuatilia hata page za mapishi huko instagram uone wenzio wana idea gani mpya na wewe upike.Mshaanza kukomoana, si muachane tu ndugu.
Hayo yote japo anayajua ila still atakomaa kukuuliza maswali ya kindeziπKiukweli mimi napenda kuulizwa.maana NI mchaguaji mzuri wa chakula
Ugali wa sembe sili,kabichi sili.
napenda wali Nazi na samaki wa Nazi na bamia ziwe za kutoshaaaa.
akibadili kuku,au maini na firigisi ya kukaanga
"Bebi Leo tunakula nini?"
Hivi chakula nimenunua, Maharage, mchele, unga, viazi, nyama, samaki vyote viko kwenye kitchen Den na kwenye friji kuna kila kitu.
Sasa kwanini uniulize tunakula nini? Wewe huwezi kujiongeza kweli kufanya assortment ya chakula cha kupika.
Kimsingi si nakuwa sili hapo home tu! Kuna haja gani sasa ya kuishi kama nipo jela.Mi nikiwaza chakula cha mchana we uwaze cha usiku. Maisha kusaidiana. Kwani kusema unachojisikia kula kuna shida gani. Mimi ningekaa na wewe ungekula chakula cha aina moja mpaka ujue kusema unachotaka kula
Hayo yote japo anayajua ila still atakomaa kukuuliza maswali ya kindeziπ
Sasa hizo namna wakati anakuuliza si ndiyo umjibu?Kuna namna kibao za kuupika wali ukaonekana kama new dish.
Ni usumbufu tafta vitabu vya mapishi ujifunze!!! Hio kazi alitakiwa kuifanya mama yako toka upo kwenu.Sasa hizo namna wakati anakuuliza si ndiyo umjibu?
Wakiwaza nyumba ndogo itakavyokusisimua, wanachanganyikiwa bila kikomo.Wanaonaga tunaboreka tukiwa ghetto tumetulia. Wanajaribu kusisimua kwa kuleta mazungumzo. Ila ndio yako nje kabisa ya muktadha
Ushasema mgahawani mkuu! You are provided with choices ni wewe kuchagua tu nataka hiki its easy kuchagua katika list of options.Kwahiyo hawa wasiopenda kuulizwa migawahani wanakula watakacholetewa Life is Easy tusicomplicate mambo madogo.
Mie nakula chochote uzuri sie tumefunzwa kula chochote kinachopikwa in the day toka utotoni!Yaani wewe unashindwa tu kumuelewa huyo dada.
Mimi nimemuelewa vizuri Sana..
Furaha yake ni kukupikia unachotaka kula kwa siku hiyo.
Yawezekana kabisa anajua unapenda pilau,kambale sijui tambi..lakini je labda pengine siku hiyo unatamani ule pilau na si tambi.
π pilau tam MkuuMie pia ugonjwa wangu pilau π
Mkuu unajua mnachanganya sehemu ndogo sana!Kweli watu tunatofautiana. Mbona ni swali zuri sana, lenye maana kubwa ndani yake.
1. Anakupenda, anakuheshimu na anaheshimu maamuzi yako. Ni kama anavyoweza kukuuliza avae nini wakati ana nguo kabati zima.
2. Anaridhika sana na wewe na yeye anajaribu kukuimpress kuhakikisha unaridhika pia. Hizi jitihada za kutaka kukuridhisha bila shaka huwa anazifanya mpaka kitandani.
"Bebi Leo tunakula nini?"
Hivi chakula nimenunua, Maharage, mchele, unga, viazi, nyama, samaki vyote viko kwenye kitchen Den na kwenye friji kuna kila kitu.
Sasa kwanini uniulize tunakula nini? Wewe huwezi kujiongeza kweli kufanya assortment ya chakula cha kupika.
π π π π πππ utaulizwa tu badili jimboKweli maisha yanatofautiana sana,maana nina miaka 17 ya uchumba sugu ila sijawahi kuulizwa swali hilo,ngoja nitafute hela maana ndio sababu ya kutoulizwa na % kubwa nahisi hatuulizwi kabisa,maana najua siku nikikuta ugali nyama ni kama suprise,tumezoea mwendo wa harage ugali na tembele tu
Kwamba yeye ndo anunue Hotpot???[emoji3][emoji3][emoji3] Mwanamke atakuuliza tunakula nini kama hujampaa helaa.. wewe mpe lakin 2 kila mwisho wa mwezi uonee..dah kaka huyo mkeo sio pacha wa mke wangu kweli.. maana nakereka sana na maswali ya jikon kama hayo.. nilimwambiaga sijawah kumsiki mzee anaulizwa swali la jikon na mshua .. wewe unaniizaje tunakula nini.. au kuniambia vitu flan vimeisha.. au tunahitaj sijui hotpots mpya.. hayo ni maswala yalio chini ya himaya yako.. sijihitaj kujua hata idadi ya glas tulizonazo
Umeufufua uzi[emoji1787]Mie nakula chochote uzuri sie tumefunzwa kula chochote kinachopikwa in the day toka utotoni!
Katika vitu ambavyo niligundua sipendi ni dagaa kauzu, kabichi, mchicha, magimbi na ndizi! Yani ukipika chakula nje ya hivyo ntakula tu sina tatizo.
Aisee Mkuu mbona mboga zote huli [emoji23].!Mie nakula chochote uzuri sie tumefunzwa kula chochote kinachopikwa in the day toka utotoni!
Katika vitu ambavyo niligundua sipendi ni dagaa kauzu, kabichi, mchicha, magimbi na ndizi! Yani ukipika chakula nje ya hivyo ntakula tu sina tatizo.
Na sisi tunajisikia raha kupika kile tutakachovhaguliwa kwa siku hiyo.Raha bwana ufike kwa table ukutane na kitu hata hukujua kitapikwa, sio kuulizana baby nikupikie nini leo...uzuri wengine hatuchagui vyakula, na hata kama hatuvipendi tulishafundisha kukubali na kuridhika na kilichopo mezani, halafu hatuna umwinyi wa "hiki ni chakula cha baba"!