Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
- Thread starter
- #421
Hamna kukomoana wala mwanamke gani ambaye hajui majukumu yake! Fuatilia hata page za mapishi huko instagram uone wenzio wana idea gani mpya na wewe upike.Mshaanza kukomoana, si muachane tu ndugu.
Tatizo ni kukosa ubunifu yani we chakula unajua wali marage na nyama tu! Kuna namna kibao za kuupika wali ukaonekana kama new dish.