Hivi nani mwingine anakereka na hili swali toka kwa wife?

Hivi nani mwingine anakereka na hili swali toka kwa wife?

"Bebi Leo tunakula nini?"

Hivi chakula nimenunua, Maharage, mchele, unga, viazi, nyama, samaki vyote viko kwenye kitchen Den na kwenye friji kuna kila kitu.

Sasa kwanini uniulize tunakula nini? Wewe huwezi kujiongeza kweli kufanya assortment ya chakula cha kupika.
Una akili kama yangu ila mm nakubaliana na hao wake zetu sisi kukasirika tunawakosea sanaaaaa why?????? Mfano mm huulizwa sanaaa swali hili jpili siku ambayo nashinda home maana kwa kazi zangu mpaka jmosi naingia mzigon. Nilichogundua huwa anauliza hivi ili anipikie chakula tofaut na mabcho nimekula sanaaa mfululizo huko kibaruani si unajua huko tunakula sanaaa mahotelini????? Chakula ni hamu na sio kula tu. So wake zetu wanatujali sanaaa wanajua hotelini huko hatuli vizur. Ukiulizwa hili swali mdau usinune taja chakula ambacho umekimiss sanaaa hata ambacho hakiko ndani ataenda kununua na kukupikia mumewe hiyo ndo furaha yake
 
Uhakikishe umepika kwa wakati pia, sio mambo ya kurudi ndio tunaanza ulizana bebi tunakula nini[emoji23] ntakuwa nikija nimeshiba
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi napiga tu simu chakula kikiwa tayari
 
Uzuri wa mwanamke ni tabia kaka wanaume tunapenda mwanamke yyt ambaye yupo makini na anayemjali sana mme wake. Unawezakuta una mke mrembo sana ukashangaa mwanaume anakula beki3 wa ovyo hata kuoga hajui
Hahahah ni kweli kabisa wengi wanaooa kwa kutumia akili wanaoa wanawake wenye nidhamu sio matako au sura za kuvutia sana.

Nidhamu ikipungua ndio kero na sarakasi za ndoa zinapoanziaga.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi napiga tu simu chakula kikiwa tayari
Hapo utafaulu ila uzingatie muda pia sababu ratiba ikinyooka inafikia wakati huna haja ya kupiga simu, utaona saa moja tu nimeshaleta fito zangu home.😂😂😂
 
Una akili kama yangu ila mm nakubaliana na hao wake zetu sisi kukasirika tunawakosea sanaaaaa why?????? Mfano mm huulizwa sanaaa swali hili jpili siku ambayo nashinda home maana kwa kazi zangu mpaka jmosi naingia mzigon. Nilichogundua huwa anauliza hivi ili anipikie chakula tofaut na mabcho nimekula sanaaa mfululizo huko kibaruani si unajua huko tunakula sanaaa mahotelini????? Chakula ni hamu na sio kula tu. So wake zetu wanatujali sanaaa wanajua hotelini huko hatuli vizur. Ukiulizwa hili swali mdau usinune taja chakula ambacho umekimiss sanaaa hata ambacho hakiko ndani ataenda kununua na kukupikia mumewe hiyo ndo furaha yake
Jumapili sawa, tena baada ya kula tunda kimasihara huwa ni burudani 😂😂😂!!! Sio umerudi kazini umechoka unaanza kuulizwa na maswali ya jikoni.
 
Hapo utafaulu ila uzingatie muda pia sababu ratiba ikinyooka inafikia wakati huna haja ya kupiga simu, utaona saa moja tu nimeshaleta fito zangu home.[emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi nina tabia za kizungu sana
Nikisema saa2 ni saa 2 kweli[emoji23][emoji23]

Niko on time sana hasa kwenye msosi.
 
Ukishaniuliza tayari umenikata hamu ya kula, napenda nitakachokula kiwe sapulaizi kwangu, na kwa muda tuliokaa wote unajua na penda nini na sitaki nini, swali ambalo sipendi kuulizwa katika maisha yangu ni hilo la tupike nini leo?
Mimi siwezi kujua unachokipenda mda wote I'm not Jesus'Christ to guess, eti mume wangu hivi, na vipi ka umekula huko kazini sisi kuwa wake zenu haimaanishi tuwe tunawafikiria nyie tuna kaxi nyingi za kufanya, plus ulezi bado kwenda kazini,pia familia inayojitambua inakaa chini na kujadili balanced diet Mimi Kuna chakula changu napenda kukila sioni shida na hakinichoshi hivi nikawa nakipika daily wengine hawasemi nitaota. Mwanaume anayekereka kuhusu menu ya chakula ana matatizo makubwa aisee, na hajawa matured. Eti mke unanijua wooi huwa tuna Mambo mengi ya kuwaza kuliko kuwaza nyie tuna Mambo yetu pia
 
And in most cases ukipika ulichopanga wewe wanaanzaga kulalamika utasikia ‘mi nlijua utapika wali nyama’ hapo umepika wali kuku [emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]....
Umeona eeh Mimi hata nyumbani huwa huliza wadogo zangu tupike kitu gani sasa wanaume vile hawako kwenye hyo situation wanaona ka swali la kijinga
 
Elekezi Mara ngapi buddy Anajua mbele ya wali Samaki sipindui na week hii nimekula Mara moja Kila kitu kipo ...dah ...
Nimekuuliza why hakupiga simu kimya...
Nkaona nikiendelea kuuliza Nitazua mengine(nitamuumiza)
So nimetulia Tuu .
Kwahiyo mzee seriously mlilala bila jikoni kupikwa chochote usiku hiyo siku?
 
Back
Top Bottom