CHIBURABANU
JF-Expert Member
- Sep 19, 2013
- 2,921
- 3,474
Yani hata kama ni usiku SAA sita utawaamsha wale,upendo Wa ukweli.Yah lazma upelekee ma home boy wako pale Ikulu 😁
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yani hata kama ni usiku SAA sita utawaamsha wale,upendo Wa ukweli.Yah lazma upelekee ma home boy wako pale Ikulu 😁
Una akili kama yangu ila mm nakubaliana na hao wake zetu sisi kukasirika tunawakosea sanaaaaa why?????? Mfano mm huulizwa sanaaa swali hili jpili siku ambayo nashinda home maana kwa kazi zangu mpaka jmosi naingia mzigon. Nilichogundua huwa anauliza hivi ili anipikie chakula tofaut na mabcho nimekula sanaaa mfululizo huko kibaruani si unajua huko tunakula sanaaa mahotelini????? Chakula ni hamu na sio kula tu. So wake zetu wanatujali sanaaa wanajua hotelini huko hatuli vizur. Ukiulizwa hili swali mdau usinune taja chakula ambacho umekimiss sanaaa hata ambacho hakiko ndani ataenda kununua na kukupikia mumewe hiyo ndo furaha yake"Bebi Leo tunakula nini?"
Hivi chakula nimenunua, Maharage, mchele, unga, viazi, nyama, samaki vyote viko kwenye kitchen Den na kwenye friji kuna kila kitu.
Sasa kwanini uniulize tunakula nini? Wewe huwezi kujiongeza kweli kufanya assortment ya chakula cha kupika.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Uhakikishe umepika kwa wakati pia, sio mambo ya kurudi ndio tunaanza ulizana bebi tunakula nini[emoji23] ntakuwa nikija nimeshiba
Huoni ubaya wake sababu una muda wa kushinda nyumbani ukupika na mkeo
Hahahah ni kweli kabisa wengi wanaooa kwa kutumia akili wanaoa wanawake wenye nidhamu sio matako au sura za kuvutia sana.Uzuri wa mwanamke ni tabia kaka wanaume tunapenda mwanamke yyt ambaye yupo makini na anayemjali sana mme wake. Unawezakuta una mke mrembo sana ukashangaa mwanaume anakula beki3 wa ovyo hata kuoga hajui
Hapo utafaulu ila uzingatie muda pia sababu ratiba ikinyooka inafikia wakati huna haja ya kupiga simu, utaona saa moja tu nimeshaleta fito zangu home.😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi napiga tu simu chakula kikiwa tayari
Jumapili sawa, tena baada ya kula tunda kimasihara huwa ni burudani 😂😂😂!!! Sio umerudi kazini umechoka unaanza kuulizwa na maswali ya jikoni.Una akili kama yangu ila mm nakubaliana na hao wake zetu sisi kukasirika tunawakosea sanaaaaa why?????? Mfano mm huulizwa sanaaa swali hili jpili siku ambayo nashinda home maana kwa kazi zangu mpaka jmosi naingia mzigon. Nilichogundua huwa anauliza hivi ili anipikie chakula tofaut na mabcho nimekula sanaaa mfululizo huko kibaruani si unajua huko tunakula sanaaa mahotelini????? Chakula ni hamu na sio kula tu. So wake zetu wanatujali sanaaa wanajua hotelini huko hatuli vizur. Ukiulizwa hili swali mdau usinune taja chakula ambacho umekimiss sanaaa hata ambacho hakiko ndani ataenda kununua na kukupikia mumewe hiyo ndo furaha yake
Mimi nina tabia za kizungu sanaHapo utafaulu ila uzingatie muda pia sababu ratiba ikinyooka inafikia wakati huna haja ya kupiga simu, utaona saa moja tu nimeshaleta fito zangu home.[emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂😂Jumapili sawa, tena baada ya kula tunda kimasihara huwa ni burudani 😂😂😂!!! Sio umerudi kazini umechoka unaanza kuulizwa na maswali ya jikoni.
Hata mimi naweza kununua pia so kuulizwa ni katika Hali ya kujaliKama
Kama nisingekipenda nisingekinunua.
Mimi siwezi kujua unachokipenda mda wote I'm not Jesus'Christ to guess, eti mume wangu hivi, na vipi ka umekula huko kazini sisi kuwa wake zenu haimaanishi tuwe tunawafikiria nyie tuna kaxi nyingi za kufanya, plus ulezi bado kwenda kazini,pia familia inayojitambua inakaa chini na kujadili balanced diet Mimi Kuna chakula changu napenda kukila sioni shida na hakinichoshi hivi nikawa nakipika daily wengine hawasemi nitaota. Mwanaume anayekereka kuhusu menu ya chakula ana matatizo makubwa aisee, na hajawa matured. Eti mke unanijua wooi huwa tuna Mambo mengi ya kuwaza kuliko kuwaza nyie tuna Mambo yetu piaUkishaniuliza tayari umenikata hamu ya kula, napenda nitakachokula kiwe sapulaizi kwangu, na kwa muda tuliokaa wote unajua na penda nini na sitaki nini, swali ambalo sipendi kuulizwa katika maisha yangu ni hilo la tupike nini leo?
Umeona eeh Mimi hata nyumbani huwa huliza wadogo zangu tupike kitu gani sasa wanaume vile hawako kwenye hyo situation wanaona ka swali la kijingaAnd in most cases ukipika ulichopanga wewe wanaanzaga kulalamika utasikia ‘mi nlijua utapika wali nyama’ hapo umepika wali kuku [emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]....
Mgahawani vile unakuta vimepikwa hata vyakula saba, tofauti na nyumbani unakuta ni chakula aina mojaKwahiyo hawa wasiopenda kuulizwa migawahani wanakula watakacholetewa Life is Easy tusicomplicate mambo madogo.
😃😃😃😃Pika magimbi na mayai ya mbuni
penzi likikomaa yote yanakuwa karahaMaswali ya kike matamu sana penzi likiwa changa
penzi likikomaa yote yanakuwa karahaMaswali ya kike matamu sana penzi likiwa changa
Kwahiyo mzee seriously mlilala bila jikoni kupikwa chochote usiku hiyo siku?Elekezi Mara ngapi buddy Anajua mbele ya wali Samaki sipindui na week hii nimekula Mara moja Kila kitu kipo ...dah ...
Nimekuuliza why hakupiga simu kimya...
Nkaona nikiendelea kuuliza Nitazua mengine(nitamuumiza)
So nimetulia Tuu .
Siyo hiyo siku Ni Jana...Kwahiyo mzee seriously mlilala bila jikoni kupikwa chochote usiku hiyo siku?