figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Last edited by a moderator:
mie nilikuwa F,hapo ni mda wa kutoka shule,
nimechoka mbaaaya afu njaa nayo inauma kinoma
A na D ndio zilikuwa staili zangu ila F ilipendwa sana na akina dada. Mkuu figganigga umesahau kidumu
mie nilibebaga maliboro so non of the above style .
halafu mfuko wenyewe ni kitambaa cha jeans au kitenge. hahahaaaa...!!! safi sana. mia
A na D ndio zilikuwa staili zangu ila F ilipendwa sana na akina dada. Mkuu figganigga umesahau kidumu
sasa utabebaje vimokono vyake ni vidogo huwezi beba style hizo hapo juuhivi malboro haina style ya kubebaee?
eti Nivea alikua kilanja mkuu so alikua akibebewa. mia
eti Nivea alikua kilanja mkuu so alikua akibebewa. mia