hivi nani wewe ulikua unabebaje mfuko unapo toka shule??

hivi nani wewe ulikua unabebaje mfuko unapo toka shule??

figganigga mzee wa mia mbona hujajipambanua wewe?
 
Last edited by a moderator:
Style zote hapo nimezitumia bila kusahau ile ya kukunja madaftari yote na kuyaweka mfuko wa nyuma wa kaptura
 
Ha ha F nimeitumia praimari,D nimeitumia o level na C nimeitumia nikiwa university ha ha umenikumbusha mbali xana
 
mimi D mwanzo mwisho siku nyingine sibebi kabisa. mia
 
B.
Nabeba hvo baada ya kununua visheti na sun-vita.
Nikiweka nyuma naogopa kuibiwa.

duh! juice za sunvita zilikuwa si mchezo,soda za vinto,kwa wale wa tanga soda za anjari,sijui.kama bado zipo
 
Back
Top Bottom