kabanga
Platinum Member
- Dec 12, 2011
- 37,649
- 19,042
mie nilibebaga maliboro so non of the above style .
Ndio style zetu za malboro ....
mie nilibebaga maliboro so non of the above style .
B.
Nabeba hvo baada ya kununua visheti na sun-vita.
Nikiweka nyuma naogopa kuibiwa.
Ndio style zetu za malboro ....
E, teh teh nilikuwa mtunduje sasa....... utoto raha, natamani nirudi huko
B.
Nabeba hvo baada ya kununua visheti na sun-vita.
Nikiweka nyuma naogopa kuibiwa.
mi ka sport kangu
nilikua nakatupia kwa mgongoni
kama huyo wa nyuma tu!!
hahahahaaa si unajua wao wanasomaga kwa vitendo?Humo kwa wale wa chuo kond.o.m.u haikosekani.
Ukifanikiwa kupata njia ya kurudi huko...nipitie na mimi turudi wote
kazi za kunyumba hizo..
mkuu mambo vipi?. mia
Hahahahaah! Hii kweli tumeitumia sana, hapo hata ipige mvua ya namna gani daftari zinakuwa salama.Sisi wengine tumesoma huko vijijini...madaftari unayafunga ndani ya rambo "malboro" halafu unayatupia mgongoni ndani ya shati.
Mswaki na dawa ya meno kama kawaida...hahahahaaa si unajua wao wanasomaga kwa vitendo?
kuna dawa za kurudi utotoni au hata ujanani kwa wazee. ILA sina uhakika km na akili inachange au inabaki mwili wa katoto alafu akili ya kazee