hivi nani wewe ulikua unabebaje mfuko unapo toka shule??

mie nilikuwa F,hapo ni mda wa kutoka shule,
nimechoka mbaaaya afu njaa nayo inauma kinoma
 
A na D ndio zilikuwa staili zangu ila F ilipendwa sana na akina dada. Mkuu figganigga umesahau kidumu
 
Last edited by a moderator:
E, teh teh nilikuwa mtunduje sasa....... utoto raha, natamani nirudi huko
 
F halafu hapo narudi home huku nikichezacheza njiani mpaka nifike nachukua masaa maawili badala ya nususaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…