na hicho kidum unatoka nacho home na maji kabisa..........
naskia hata Lady doctor alikua dada mkuu,
walikua nae wanambebea bag yake ya madaftari
nini kubebewa? Mpaka hesabu nikishindwa nawaambia wanifanyie na ole wao wanikoseshe
kama hujabeba kidumu ukisikia tu kila mtu na kidumu chake unaiba cha mwenzio ili usichalazwe viboko!. mia
sasa utabebaje vimokono vyake ni vidogo huwezi beba style hizo hapo juu
hahaaa viranja walikuaga na amri hao...........,mda wa break time nao
unataka ununuliwe visheti,kababu na Icecream.........,
style yake ni kuingiza mgongoni ndani ya shati then unachomekea hapo mwendo mdundo... Lol!
Yaani kila jikiingia humu nacheka hadi nachoka. Nawaona na mavumbi hadi magotini wachafuuuuu! Duuh
mimi bag likuwa hili ,
ngubiti , kababu na mabumunda kuwapelekea wadogo zangu,humo ndani kuna nini mkuu?. mia
F....mia
Humo kwa wale wa chuo kond.o.m.u haikosekani.View attachment 95000 mie ilikuwa hivi mia