Hivi naweza kujenga nyumba kwa mshahara wa laki 5 kwa mwezi?

Ushauri mzuri sana, nimeelewa bora nikanunue Hekari 30 nichimbe kisima nianze kilimo serious.
 
Unajenga vizuri,tena nyumba standard kabisa ya kuishi!!
Watu wanajenga Kwa take home ya laki 3 wee unaongelea laki 5,si tajiri kabisa wewe!!!
Kilichopo punguza matumizi,Anza kujikusanya mdogo mdogo mkopo isiwe kipaumbele chako,chukua mkopo ukishasimamisha boma ili ukipaua tu unatia magril unaforce anaingia hivyo hivyo mengine yatajulikana mbele Kwa mbele!!
 
Nzuri sana hii, nimeelewa shukrani.
 
Cc. Mpwayungu Village
 
Laki tano nyingi sana mkuu, Kuna akina mama wanajenga kwa kukusanya elfu tano ya Mauzoi ya mihogo na vitumbua tu. Kujenga ni sula la maamuzi magumu tu. Kama wauza K wanajenga , mama ntilie, bodaboda, washona viatu n.k hata wewe Mwalimu unaweza kujenga ukiamua kuacha majungu na Kuisadiia CCM kuendelea kubaki madarakani
 
Mkuu kwa dar es salaam au wap tupe location
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…