Hivi naweza kujenga nyumba kwa mshahara wa laki 5 kwa mwezi?

Kweli kabisa.
 
Yaani pole sana . Ila nyinyi walimu ndio mnao husika kuisaidia ccm kuiba kura. Kisa mnaogopa kupeteza kazi kumbe kazi zenyewe mnazo ogopa kupoteza ni kazi za kujitolea. Walimu mnaelimu ya kutosha kuliko wabunge wengi na wakuu wa mikowa hata badhi ya mawaziri halafu mnakubali kupagiwa mshahara sawa na posho ya siku moja ya wabunge? Mmeshindwa kujipanga na kudai masirahi yenu?
 
Hizi kazi za ualimu wa shule ya msingi na secondary ukitegemea mshahara peke yake kutoboa ni ngumu hasa ukiwa unaishi mikoa kama dar.Uzuri wa ualimu unamuda mwingi wa kufanya shughuli zako binafsi
Ni kweli kabisa, tunashindwa kuwekeza kwa kwasababu ya hofu.
 
Mkuu kumbe uko uvinza?huko ndo penyewe sasa,chekecha akili vizuri wewe kutoboa ni lazima,laki 5 nyingi Sana achana na wazo la kukopa!!!
Kwa take home yako unatakiwa uwe na viwanja hata vitatu Kwa muda uliokaa kazini!!
Kiwanja ninacho uko mkoani nilipotoka, lakini nawaza nijengee uku nilipo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…