Hivi nchi hii inashindwa kuwakaribisha Spain/Brazil/ England/ France kujenga academy hapa nchini ili kuvumbua, kulea na kukuza vipaji vya football?

Kwann kama taifa hatuna mikakati?? Nakasirika sana kuona serikali inadandia treni ya mafanikio ya mpira kwa mbele.

Nchi za Senegal, Mali, na Burkina Faso serikali za nchi hizi zimefanya uwekezaji mkubwa ktk soka. Na ndiyo tunayaona mafanikio yao.

Badala ya kuwategemea vijana waliokulia chai na maandazi, kisha wakaanza na kuvuta bangi kndipo wakajiingiza kwenye mpira, ni vema tuwaandaye tangu utotoni.

Hawa wa sasa hawanyumbuki, hawana nguvu na hata akili ya mpira hawana. Huyo tunayemuita star wetu wa taifa nje ya nchi ni kidampa tu.
Umewahi sikia brazil wana academy? Mchezaji yupi wa brazil katokea academy,

Sema tutanatakiwa kuwa na league nyingj za vijana na mashindano ya vijana yatakayo vumbua vipaji.

Pia na willingness na mipango ya kuwaendeleza na kuwatafutia fursa.
 
Walikuja Real Madrid hapa kuingia ubia na NSSF kujenga kituo nn kimetokea ?

Jk park ilikua chini ya Sunderland nini kinaendelea ?

African lyon wako na Seatle Sounders nini kinaendelea ?
 
Kwann kama taifa hatuna mikakati?? Nakasirika sana kuona serikali inadandia treni ya mafanikio ya mpira kwa mbele.

Nchi za Senegal, Mali, na Burkina Faso serikali za nchi hizi zimefanya uwekezaji mkubwa ktk soka. Na ndiyo tunayaona mafanikio yao.

Badala ya kuwategemea vijana waliokulia chai na maandazi, kisha wakaanza na kuvuta bangi kndipo wakajiingiza kwenye mpira, ni vema tuwaandaye tangu utotoni.

Hawa wa sasa hawanyumbuki, hawana nguvu na hata akili ya mpira hawana. Huyo tunayemuita star wetu wa taifa nje ya nchi ni kidampa tu.
Ila nikusaidie tu kwa Tanzania michezo sio kipaumbele cha taifa na wauwaji wakuu wa michezo ni Ccm na serikali yenyewe ...

Ukitaka kuamini hili fuatilia ziara zao uone km wanazungumzia michezo au kukiipa thamani michezo

Michezo Tanzania imebaki kwa mzqzi na mtoto mwenyewe kufanya juhudi binafsi
 
Kwann kama taifa hatuna mikakati?? Nakasirika sana kuona serikali inadandia treni ya mafanikio ya mpira kwa mbele.

Nchi za Senegal, Mali, na Burkina Faso serikali za nchi hizi zimefanya uwekezaji mkubwa ktk soka. Na ndiyo tunayaona mafanikio yao.

Badala ya kuwategemea vijana waliokulia chai na maandazi, kisha wakaanza na kuvuta bangi kndipo wakajiingiza kwenye mpira, ni vema tuwaandaye tangu utotoni.

Hawa wa sasa hawanyumbuki, hawana nguvu na hata akili ya mpira hawana. Huyo tunayemuita star wetu wa taifa nje ya nchi ni kidampa tu.
Hilo lingewezekana kama dola ingetoa uwanja huru Kwa vyama vyote vya siasa kushika Dola na kutokibeba chama kimoja!

Vyama na serikali zingejipendendekeza Kwa wananchi kiasi hicho Ili visipoteze Dola!

Lakini chama chetu kimelelewa na Dola kikabweteka,na kuona madaraka ni haki Yao ya kudumu na msingi kikazoea Dola na kuumba ubwanyenye,wizi,ufisadi,mawazo mgando na mengineyo mabaya kiasi kwamba kinawaza namna ya kushika Dola Kwa kuitumia Dola badala ya kujipendekeza kwa wananchi na kutimiza wajibu ipasavyo!!

Hata Dola ilipotoa agizo katiba mpya iandikwe baada ya kuona madhara makubwa ya chama hiki na wao waliambulia kiburi Toka kwa chama na kukiukwa kwa maagizo yao ndio maana Hadi Sasa Dola inaula WA chuya na kusaga meno Kwa laana ya kulea chama kimoja Kwa muda mrefu madarakani!!!

Wanachama wetu wanawaza namna ya kuiba. Kuliko maendeleo Dola imewalevya watalevuk baada ya kuikosa Dola!!
 
Tusitegemee mabadiliko chini ya CCM, Chadema , CUF na vyama vingine vya upinzani , hapa ni mwendo wa kujilimbikizia mali
Yule aliyetaka kuwa Dictator ange dictate mpaka CCM halafu tungeona labda tungeonja ladha nyingine tungetoka kwenye comfort zone ya tunayoiita amani while bado tunalia lia
 
Umewahi sikia brazil wana academy? Mchezaji yupi wa brazil katokea academy,

Sema tutanatakiwa kuwa na league nyingj za vijana na mashindano ya vijana yatakayo vumbua vipaji.

Pia na willingness na mipango ya kuwaendeleza na kuwatafutia fursa.
Zipo nyingi na wanalalelewa nje sasa hiyio ligi ya vijana lazima wawe kwnye academy
 
Kwann kama taifa hatuna mikakati?? Nakasirika sana kuona serikali inadandia treni ya mafanikio ya mpira kwa mbele.

Nchi za Senegal, Mali, na Burkina Faso serikali za nchi hizi zimefanya uwekezaji mkubwa ktk soka. Na ndiyo tunayaona mafanikio yao.

Badala ya kuwategemea vijana waliokulia chai na maandazi, kisha wakaanza na kuvuta bangi kndipo wakajiingiza kwenye mpira, ni vema tuwaandaye tangu utotoni.

Hawa wa sasa hawanyumbuki, hawana nguvu na hata akili ya mpira hawana. Huyo tunayemuita star wetu wa taifa nje ya nchi ni kidampa tu.
huyo msomali anajua kumfungia manara tu
 
Je sisi wananchi kuna chochote tunafanya kukuza au kuibua vipaji??

Kuna kipindi fulani cha Azam jamaa likua akihojiwa jinsi anavyopambania ndoto za wanae huko majuu.
Serikali haimsaidii chochote ila watoto wake 3 wapo academy za timu kubwa ulaya.

Hapa kwetu mzazi hata kumnunulia mwanae kiatu cha mchezo anaoupenda ni nongwa, eti soma kwanza.

Hii serikali haina macho, wewe kwanza ukiisubiri hii serikali ikufanyie jambo ni sawa na kusubiri salamu toka kwa TUKANA UONE
 
Kwann kama taifa hatuna mikakati?? Nakasirika sana kuona serikali inadandia treni ya mafanikio ya mpira kwa mbele.

Nchi za Senegal, Mali, na Burkina Faso serikali za nchi hizi zimefanya uwekezaji mkubwa ktk soka. Na ndiyo tunayaona mafanikio yao.

Badala ya kuwategemea vijana waliokulia chai na maandazi, kisha wakaanza na kuvuta bangi kndipo wakajiingiza kwenye mpira, ni vema tuwaandaye tangu utotoni.

Hawa wa sasa hawanyumbuki, hawana nguvu na hata akili ya mpira hawana. Huyo tunayemuita star wetu wa taifa nje ya nchi ni kidampa tu.
Viongozi waliodumaa kwa utapiamlo wanawezaje kuwa na vision kama yako ?
 
Hata huko Senegal na ujerumani sio serikali inajenga academy...
Tanzania mtu hata kuamka asubuhi anataka serikali ije imuamshe
Bwenge wewe ukianzisha watakwambia lazima uwe na kadi ya ccm vinginevyo watakufungia. Au Uta ambiwa kodi 50% ya mtaji. Huko ujeruman Kuna sheria ambozo hata raisi akizivuja anaingia jailer bila kuangaria sura. Na kwasabu hiyo watu hawaogopi kuwekeza mabilioni ya dollars.
 
Yaani wewe kweli unaweza kwenda kujenga shule katikati ya mbuga ya wanyama ya Serengeti.
 
Tatizo sio academy tatizo ni mindset tulizonazo watanzania!

Watanzania ni watu wa kuridhika sana kitu kidogo tunaona tushamaliza maisha, yaani mchezaji wa kibongo akishachezea simba na yanga akafanikiwa kujenga nyumba anaona ameshafanikiwa na hata akipata ofa za kwenda kucheza nje anazikataa.

Taifa stars hapo ilipo karibia wachezaji sita wametokea academy ya azam lakini angalia madudu wanayofanya wakiwa uwanjani.

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom